masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Tunaendelea wakuu...
Baada ya mbinu ya kuvamia nyumbani kwa mzee wa hummer kufeli, washirika wenzie wa sembe (mama wa mikocheni na mtume wa mwenge) walijaribu kumvamia mzee wa hummer akiwa anaelekea kigoma (kigoma ndio kanisa la pili kwa ukubwa la mzee wa hummer baada ya hili la dar) lakini pia nayo kumbe aliwawekea kanyaboya mwenyewe alikwea pipa hummer alikuwa anaendesha mchungaji wake msaidizi!
Baada ya mbinu zote hizi kufeli ndipo mama wa mikocheni na mtume wa mwenge wakambembeleza sana jamaa kuwa wafanye kikao wasuluishe na waangalie namna gani watasonga mbele na biashara! Basi kikao kikapangwa kifanyike alhamisi nyumbani kwa Mtume wa mwenge! Mzee wa hummer akakubali..
Siku ya alhamisi ilipofika mzee wa hummer akaenda hadi nyumbani kwa mtume, akamkuta na mama wa mikocheni amefika! Sasa sijui wakafanya sarakasi gani ndio wakampatia kinywaji chenye sumu... baada hali kubadilika ghafla mzee wa hummer ikabidi arudi home!! Afu jamaa akawa hataki kwenda hospitali, nakumbuka ilibidi mpaka dada yake mkubwa aitwe.. na daktari wake nae akaitwa! Basi jamaa akapigwa sindano ya usingizi akapelekwa kwenye zahanati ya huyo dokta mbezi beach!! Ilibidi mpaka afanyiwe upasuaji coz walisema sumu aliyokula inasababisha organs ziharibike, nakumbuka walimpasua wakakata sehemu fulani ambayo walidai kuwa imeanza kuharibika!!
Kama unakumbuka vizuri mwaka jana kuna kipindi karibia miezi mitatu jamaa alikuwa haonekani wakatangaza kuwa yuko nje kwenye ziara anahubiri... jamaa alikuwa kwake paleplae anuguza mshono.!
Baada ya mshono kupona jamaa inasemekana ikabidi aanze network ya kusukuma sembe pasipo kutegemea ile CARTEL yao ya watu sita!
Nakumbuka alifanya vitu vitatu..
1. Alileta wakorea saba, anaishi nao nyumbani kwake mpaka leo!! Huwa wanajifanyaga wapiga vyombo pale kabisani but wanakazi maalum ntaieleza baadae! (Hawa hata ukienda sasa hivi unawakuta)
2. Akafanya recruitment ya kufa mtu! Hapo ndio wakaingizwa dada yetu muimbaji na mmewe, akina mkandamizaji waliponea chupuchupu... baada ya mda mfupi kama mnakumbuka dada yetu akapelekwa UK (eti kusoma) (ntakuja kueleza aliwahitaji kwa nini na kilitokea nini)
3. Kuna wachungaji wake wapatao kumi na saba wakapelekwa nje (Asia na London) kwa excuse mbalimbali (kusoma na kusimamia makanisa(sijui makanisa gani))
Sasa hapa ndipo kwenye uhondo, coz kuna series of events zilitokea mpaka zikaja kuzaa hii scandal ya mume wa dada yetu muimbaji kubaka..
Ntarudi..
yaani leo ingekua ijumaa tungeenda coco na pc huku tukimcheki davido
mimi na@The bold tukiendelea kupost
bado mkuu ujatoa ile ya kushindana nani atatoa pesa nyingi katika msiba wa kulola
usisahau connection ya million 10
lakini pia kwa sasa harekod tena na mkandamizaji
lakini pia sidhani kama mkandamizaji ana uhusiano mzuri na dada flora
je vipi kuhusu mchungaji alietaka mali za kulola
IKUMBUKWE KATIKA CLIP MBASHA KAMTAJA MZEE
LAKINI PIA KAMTAJA MAMA KAZEBA,na wadogo wa mama kazeba,na je babu na goodluck inakuaje,????watoto wa kulola
LAKINI PIA ESTER na umri wake wa 17 iweje anafanya kazi ni kazi gani
vipi kuhusu suzy????
patrick ni nani????
je nyumba wanayoishi ni ya nani ya mbasha au ya flora???
DORI NI NANI?????
mbonawanawake wengi wapo hapo katikati
FLORA anumwa moyo kisa???
KATATWA SUZY kuwa akinifunga itakuaje