Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

usifanye hivyo mchepuko, weka hapa hapa wazi km mkuu the bold anavyfanya
 
Mkuu mimi hapa namsubiria the Bold ,nipo nazidinya tu hapa castle milk stout kwa ajili yake.Hawa walokole mchwara wameaibisha dini yangu.

Kiongozi umetisha sana na hayo makitu meusi....

Ngoja Mkuu The bold arudi, ila tumuombee maana alipogusa issue ya Sembe nikamkumbuka Amina Chifupa RIP
 
usifanye hivyo mchepuko, weka hapa hapa wazi km mkuu the bold anavyfanya

ni issue ya zamani labda nitafute evidence upya kwa kumtafuta huyo dada
ndo maana nikakwambia nenda hiyo hotel
sitaki kuongea bila evidence

wewe si upo mitaa hiyo nenda
mimi jipo mbali sana
 
ahahahhahaa masai dada, hamna Bwana. Atakuwa safe, si unajua amepromise kuja na nondo ndefu na kali. Natumaini atakuwa ana proof read by this time.

cc The bold
 
Last edited by a moderator:
ni issue ya zamani labda nitafute evidence upya kwa kumtafuta huyo dada
ndo maana nikakwambia nenda hiyo hotel
sitaki kuongea bila evidence

wewe si upo mitaa hiyo nenda
mimi jipo mbali sana

Sijui nile kona hapo kesho?? Pembeni ya hiyo hotel si kuna kengine kadogo kana ghorofa moja kanaitwa W......
 
Hivi inakuwaje mchungaji anakuwa na security inteligency yake tena ya watu profesional.
Na inakuwaje mambo ya ngono yafanyike katika taasisi hizi za 'watu wa Mungu'?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…