Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Gwajima ni malaya wa kutupwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe anaweka mambo sawa. Tuendelee kusubiri
ngoja tumalize hili sakata la mbasha
ila unaijua hotel moja ipo nyima ya ubungo plaza ina taa taa nyingi za rangi nyakati za usiku in usawa kama wa gorofa 4 kama sikose hivi ipo mbali kidogo na ubungo plaza ila iko nyuma yake
nenda hapo muulizie mdada resepshenist ana mahips na kalio kama masogange
uimpata mpe biz card mpe dola 50 ya vocha then mwambie next wikend muonane
alafu muulize kuhusu huyo mzeee
niliondoka kitambo huko sidhan kama walienda sana kiasi cha kumuamisha pale naamini yupo kama hayupo utampata wa kukuambia yupo
usiitaje hiyo hotel JINA LAKE HAPA
Mkuu mimi hapa namsubiria the Bold ,nipo nazidinya tu hapa castle milk stout kwa ajili yake.Hawa walokole mchwara wameaibisha dini yangu.
usifanye hivyo mchepuko, weka hapa hapa wazi km mkuu the bold anavyfanya
mzima mama upo mis uuu
ni issue ya zamani labda nitafute evidence upya kwa kumtafuta huyo dada
ndo maana nikakwambia nenda hiyo hotel
sitaki kuongea bila evidence
wewe si upo mitaa hiyo nenda
mimi jipo mbali sana
ahahahhahaa masai dada, hamna Bwana. Atakuwa safe, si unajua amepromise kuja na nondo ndefu na kali. Natumaini atakuwa ana proof read by this time.
cc The bold
Mi mzima dear nipo tu nashangaa ya walimwengu. Miss u too maana siku hizi napoteapotea
Sijui nile kona hapo kesho?? Pembeni ya hiyo hotel si kuna kengine kadogo kana ghorofa moja kanaitwa W......
kuna inayoanzia na sh.......
Hivi mnakuwa na kiu ya neno la Mungu km mnavyokuwa na kiu ya umbea??
Hivi mnakuwa na kiu ya neno la Mungu km mnavyokuwa na kiu ya umbea??