Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

Hakika Mungu ametuonesha..
 
ha ha ha ha.... mkuu The bold umemaliza kazi, umebadilisha upepo tayari kwa kumwaga data ambazo hata kama si za kweli ila lazima zinafanana na ukweli

Mkuu ni kweli tupu...Kuna vitu nilikuwa sivielewi ila baada ya kunganisha dots sasa ndo naelewa...
 
Last edited by a moderator:
Kiu yenyewe ndo hiyo imekatishwa na hao wachungaji wahuni....

Tukimtazama yeye kristo mwenye kuianzisha na kuitimiliza Imani yetu. Biblia haijasema umuangalie mchungaji, utahukumiwa kivyako vyako. kumbuka na yeye atahukumiwa kwa nafsi yake na kwa kupotosha wengine.

Story za wachungaji zinatisha. Wapo wa Kanisa flani sitawataja inasemekana waliwatengenezea wenzao ajili wakafa 4 Kama sikosei pale kongowe kisa kugombea vyeo. Kila mahali pameoza shetani anafanya Kazi yake. Wa kumuangalia ni Mungu pekee.
 

Tema mate mbali kabisa...Haya makanisa michepuko yana siri kubwa mno...
 
Jamani The Bold, au wamesha- kuulimboka? Please rudi ukate kiu zetu n ubuyu unapoaaa. Ungejua unavyosubiriwa huku mweee, sidhani ht kama tunaisubiri siku ya mwisho anxiously kama tunavyokusubiri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Utata mtupu kama skendo ya profesa flani, kuna mengi nyuma ya pazia.!
 
Napajua sana hapo my dear...ngoja nikupata time nijipitishe kona hizo huenda nitaokota habari

sawa ila huyo dada sijui kama bado yupo hapo

wana breakfast na lunch nzuri hapo miaka ya 2010 ndo ilikua mitaa yangu sipo huko tena

sasa huyo dada ana michapo yote
 
loooh jamani nishammis

nahisi wifi kamfata kwake wikiend hiii sishangai

Wakuu,

Mnisamehe kwa kuwa kimya..

Tangu naweka post ya kwanza nilikuwa nafahamu hatari ya hiki kitu ninachokifanya, kwani hata ‘Baba mwenye nyumba' pale magogoni alipoletewa list ya hawa watu ilimbidi tu akae kimya!!

Information ninayotaka kuipost iko sensitive sana, na kuna mtu anajitahidi kwa hali na mali nisiiweke hapa! Nimekuwa kimya kwa masaa haya machache kwasababu kuna changamoto imejitokeza hapa nilipo kutoka na hizi nyundo ninazoweka humu...

Nitarudi hapa baada ya kama dakika 15 kuwahabarisha!
 

yaani mimi kudanganywa kanisani ndo sitaweza LAZIMA TUJUE UKWELI
sikiliza yesu alisema KAMA HAMUWEZI KUWA KAMA MIMI BASI MTAFUTE WA KUWA NA NINYI....aliwaambia wanafunzi alijua moja kwa moja wale ndio wataenda kuwa wtumishi wakuendeleza kanisa

sasa LENGO LAKE KUU ALITAKA WAISHI KAMA KRISTO ALIVYOISHI ILI TUWAKUBALI NA KUFATA MAFUNDISHO WAYATOAYO

leo hii mtu analala na mke wa mtu hapo kanisani alafu ninajua eti NIENDE AKANIEKEE MKONO KICHWANI ANIBARIKI hell noooO
 
sawa ila huyo dada sijui kama bado yupo hapo

wana breakfast na lunch nzuri hapo miaka ya 2010 ndo ilikua mitaa yangu sipo huko tena

sasa huyo dada ana michapo yote

Duuh imekuwa muda Sana kweli
 

Mungu akuongoze The bold
 
Last edited by a moderator:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…