Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivi inakuwaje mchungaji anakuwa na security inteligency yake tena ya watu profesional.
Na inakuwaje mambo ya ngono yafanyike katika taasisi hizi za 'watu wa Mungu'?
Madawa ya kulevya ndugu.....Msome thread kwa jicho la tatu..