Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Mkuu The bold yaonyesha wewe upo jikoni kabisaaaa.. nibora umalizie kushusha huo mzigo kwasababu umeshatufungua mengi sana
 
mkuu uliisikiliza hiyo Audio????
je wale misukule waliofufuliwa walikutanishwa na ndugu zao na wanahabari wakaitwa kama ilivyo siku ya kuwatoa

anyways sikiliza audio hiyo alafu tuanzie hapo
j
 
Hofu yangu ni kwamba asije akapumzishwa tuu maana wauza unga huwa wana mkono mrefu sana.
 
watu wanadata na sakata la unga anyway
wimbo wa nitasubiri wa jux uwaburudishe usiku huu

KAMUIMBIA JACK ALIEFUNGWA CHINA KWA AJILI YA SEMBE
 
Mkuu hebu funguka zaidi, ina maana Gwajima kumhamishia Flora GUEST wakati ni mke wa mtu nayo ni conspiracy? Gwajima kumpatia Flora education nayo ni conspiracy? Hivi hao wachungaji wenu huwa wanawaloga akili au!
 
Hofu yangu ni kwamba asije akapumzishwa tuu maana wauza unga huwa wana mkono mrefu sana.

Nikweli bt ukiwajulia hawanaga Ujanja kiukweli ni maKATILI sana lkn hakuna watu waoga km hao ndo namshauri kwakua amefunguka Vzr amalizie palipobaki...!
 
Mkuu hebu funguka zaidi, ina maana Gwajima kumhamishia Flora GUEST wakati ni mke wa mtu nayo ni conspiracy? Gwajima kumpatia Flora education nayo ni conspiracy? Hivi hao wachungaji wenu huwa wanawaloga akili au!

hata kama sentensi za juu si sahii Ila hiyo ya mwisho mkuu uliyoiandika ni sahihi
 
Mkuu hebu funguka zaidi, ina maana Gwajima kumhamishia Flora GUEST wakati ni mke wa mtu nayo ni conspiracy? Gwajima kumpatia Flora education nayo ni conspiracy? Hivi hao wachungaji wenu huwa wanawaloga akili au!
Waumini wa haya masinagogi ya Shetani nao pia huwa ni mashetani
 
mkuu hebu funguka zaidi, ina maana gwajima kumhamishia flora guest wakati ni mke wa mtu nayo ni conspiracy? Gwajima kumpatia flora education nayo ni conspiracy? Hivi hao wachungaji wenu huwa wanawaloga akili au!

hawa jamaa sijui vichwa vyao vinakuwaje. Siku alimkuta gwajima yupo juu ya kiuno cha mkewe wala hatostuka.
 
Hamna atakaye kutisha....Ngoja tukufanyie maombi...hamna panya atskugusa...

Tupe nondo.....Shetani leo anaumbuka..
 
Mkuu The bold,,,

Bar zinafungwa saa tano ujue, na Mama Koku naye ameanza kubipu akidhani watu tumechepuka kumbe tunashushia hii stori murua na ze Serengeti premium lager, bonge la kiburudisho. Anyway sikati tamaa naagiza "one for the road" then nitaweka "last but not least" kama stori itakuwa haijaja nitapiga kitu cha "absolutely bloody final"
 
Duu hii kali, kwa jinsi nilivyo isikiliza huyu aliepigiwa sio MBAKWA atakuwa ni shemeji.....kwanza atakuwa katumwa na nani?.lengo hasa la kurecord ni lipi, Mbasha awe hatiani ili Gwajima aendelee kumgegeda Flora? Au amekerwa na tabia mbaya alioionesha mbasha?;au kapewa dili ili apige pesa? Au katumwa na Flora ili jamaa achezee mvua 30 then flora azidi kujitanua?
 
Vipo vya kukosa hapa duniani,lakini si kukosa UHONDO huu!
Umeshiba haswaa,… jino kwa jino mpaka mwisho! Mkuu The Bold come come…
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…