Msukuma,nasikia ni mjukuu sijui kitukuu wa Ng'wanamalundeMi niko nje kidogo nataka kufahamu huyu Mch. Gwajima ni mkabila gani... for the sake of interest tu.
Au atakuwa ametumia maviroba hatarishi yanaitwa Double Punch,,, Matumbo amevurugwa sio bureItakuwa yupo high, maana Uswahilini kuna viroba hadi vya sh 600.
Au atakuwa ametumia maviroba hatarishi yanaitwa Double Punch,,, Matumbo amevurugwa sio bure
yani hapa namuwaza ka namjua mwenzenu eh! The bold Mungu akutunze mpendwa wetu.
Hapa ni mambo Mawili 1. Kuumwaga wote ili washindwe kukunyamazisha au 2. Kukaa Kimya japo wanaweza kukudhuru kwa kuogopa huenda utawalipua zaidi. Heri uutue wote kuliko option ya pili coz Ina hatari zaidi
Msukuma,nasikia ni mjukuu sijui kitukuu wa Ng'wanamalunde
Tunaendelea wakuu...
Baada ya mbinu ya kuvamia nyumbani kwa mzee wa hummer kufeli, washirika wenzie wa sembe (mama wa mikocheni na mtume wa mwenge) walijaribu kumvamia mzee wa hummer akiwa anaelekea kigoma (kigoma ndio kanisa la pili kwa ukubwa la mzee wa hummer baada ya hili la dar) lakini pia nayo kumbe aliwawekea kanyaboya mwenyewe alikwea pipa hummer alikuwa anaendesha mchungaji wake msaidizi!
Baada ya mbinu zote hizi kufeli ndipo mama wa mikocheni na mtume wa mwenge wakambembeleza sana jamaa kuwa wafanye kikao wasuluishe na waangalie namna gani watasonga mbele na biashara! Basi kikao kikapangwa kifanyike alhamisi nyumbani kwa Mtume wa mwenge! Mzee wa hummer akakubali..
Siku ya alhamisi ilipofika mzee wa hummer akaenda hadi nyumbani kwa mtume, akamkuta na mama wa mikocheni amefika! Sasa sijui wakafanya sarakasi gani ndio wakampatia kinywaji chenye sumu... baada hali kubadilika ghafla mzee wa hummer ikabidi arudi home!! Afu jamaa akawa hataki kwenda hospitali, nakumbuka ilibidi mpaka dada yake mkubwa aitwe.. na daktari wake nae akaitwa! Basi jamaa akapigwa sindano ya usingizi akapelekwa kwenye zahanati ya huyo dokta mbezi beach!! Ilibidi mpaka afanyiwe upasuaji coz walisema sumu aliyokula inasababisha organs ziharibike, nakumbuka walimpasua wakakata sehemu fulani ambayo walidai kuwa imeanza kuharibika!!
Kama unakumbuka vizuri mwaka jana kuna kipindi karibia miezi mitatu jamaa alikuwa haonekani wakatangaza kuwa yuko nje kwenye ziara anahubiri... jamaa alikuwa kwake paleplae anuguza mshono.!
Baada ya mshono kupona jamaa inasemekana ikabidi aanze network ya kusukuma sembe pasipo kutegemea ile CARTEL yao ya watu sita!
Nakumbuka alifanya vitu vitatu..
1. Alileta wakorea saba, anaishi nao nyumbani kwake mpaka leo!! Huwa wanajifanyaga wapiga vyombo pale kabisani but wanakazi maalum ntaieleza baadae! (Hawa hata ukienda sasa hivi unawakuta)
2. Akafanya recruitment ya kufa mtu! Hapo ndio wakaingizwa dada yetu muimbaji na mmewe, akina mkandamizaji waliponea chupuchupu... baada ya mda mfupi kama mnakumbuka dada yetu akapelekwa UK (eti kusoma) (ntakuja kueleza aliwahitaji kwa nini na kilitokea nini)
3. Kuna wachungaji wake wapatao kumi na saba wakapelekwa nje (Asia na London) kwa excuse mbalimbali (kusoma na kusimamia makanisa(sijui makanisa gani))
Sasa hapa ndipo kwenye uhondo, coz kuna series of events zilitokea mpaka zikaja kuzaa hii scandal ya mume wa dada yetu muimbaji kubaka..
Ntarudi..
Yaani MY DEAR TE BOLD KM NOTHING BAD HAPPEN TO YOU DONT HESITATE TO TELL US,FOR SURE UMENIGUSA HAPA NAKUOMBEA KWA IMANI YANGU MUNGU AKULINDE,NAONGEA KM MWANAMKE NINAEJUA UCHUNGU WA MWANA,MUME AU BABA?MAANA ENDAPO LITAKUKUTA AO NDO WATAUMIA HATA ZAIDI,EEE MUNGU MPIGANIE SHUJAA WAKO ALIYEAMUA KUMFUNGA PAKA KENGELE NAMI KATIKA WANANGU UNIPE JASIRI KM HUYU MFICHUA MAOVU YA WEZI WA SADAKA ZETU.
kaa sawasawa na Mungu ni mwaminifu atakuonyesha njia utakayoiendea.Kuna binti fulani ,kwahyo usaliti niliona kwa Flora kwa mumewe ndo inabidi nami nijiulize mara mbili mbili.Japo mumewe naye amefanya dhambi kubwa ya kuzini.
yaani leo ingekua ijumaa tungeenda coco na pc huku tukimcheki davido
mimi na@The bold tukiendelea kupost
bado mkuu ujatoa ile ya kushindana nani atatoa pesa nyingi katika msiba wa kulola
usisahau connection ya million 10
lakini pia kwa sasa harekod tena na mkandamizaji
lakini pia sidhani kama mkandamizaji ana uhusiano mzuri na dada flora
je vipi kuhusu mchungaji alietaka mali za kulola
IKUMBUKWE KATIKA CLIP MBASHA KAMTAJA MZEE
LAKINI PIA KAMTAJA MAMA KAZEBA,na wadogo wa mama kazeba,na je babu na goodluck inakuaje,????watoto wa kulola
LAKINI PIA ESTER na umri wake wa 17 iweje anafanya kazi ni kazi gani
vipi kuhusu suzy????
patrick ni nani????
je nyumba wanayoishi ni ya nani ya mbasha au ya flora???
DORI NI NANI?????
mbonawanawake wengi wapo hapo katikati
FLORA anumwa moyo kisa???
KATATWA SUZY kuwa akinifunga itakuaje
Yaani MY DEAR TE BOLD KM NOTHING BAD HAPPEN TO YOU DONT HESITATE TO TELL US,FOR SURE UMENIGUSA HAPA NAKUOMBEA KWA IMANI YANGU MUNGU AKULINDE,NAONGEA KM MWANAMKE NINAEJUA UCHUNGU WA MWANA,MUME AU BABA?MAANA ENDAPO LITAKUKUTA AO NDO WATAUMIA HATA ZAIDI,EEE MUNGU MPIGANIE SHUJAA WAKO ALIYEAMUA KUMFUNGA PAKA KENGELE NAMI KATIKA WANANGU UNIPE JASIRI KM HUYU MFICHUA MAOVU YA WEZI WA SADAKA ZETU.
Umenifanya nifungue thread sisomi za watu nakutafuta wewe to so oh 53 kma pg 5
Loh
Huyo huyo,naona hata Gwajima ana vijielement vya babu yake.Si unaona anarudisha misukuleAsante Vic, nasikia huyu Ngw'anamalunde kwa uchawi alikuwa anaweza kuunyooshea mti kidole na unakauka!
kaa sawasawa na Mungu ni mwaminifu atakuonyesha njia utakayoiendea.
Ameni Ameni AmeniAmina.