Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

Heee walishakupitia nini,??vwakakubulshit
 
Mkuu the bold hebu rudi utueleze Hilo tukio la ajabu lililotokea hapo kwako, Mimi nna usingizi ujue.


Kinky
 

Komakugegeda siti ya nyuma mweke mbele inama wakijawajinga na so hamia kitichasterling unaanza sifundishi naellimisha tu
 
Mkuu The bold,,,

Kadri unavyochelewa kurudi ndio watu tunaendelea kukandamiza Serengeti lager, noma ni pale unarudi wakati tumeishalewa!! Au misukule ya mzee wa Hammer imekupiga "access denied"

Si afadhali ulewe nauli uwe nayo angalia wasikuflorishe bana maana ikimalixanauli akunajinsi lazimauwatafute
 
Mkuu mimi hapa namsubiria the Bold ,nipo nazidinya tu hapa castle milk stout kwa ajili yake.Hawa walokole mchwara wameaibisha dini yangu.

Eti mtu anakunywa castle milk stout afu anasema walokole wameiaibisha din yake,yan hii dunia Ina mauzauza mpaka najuta kuifahamu,cjui mungu wa isaka,mungu ya yakobo,mungu wa Ibrahim tutamwambia nn cku ya mwisho!
 
Kuna binti fulani ,kwahyo usaliti niliona kwa Flora kwa mumewe ndo inabidi nami nijiulize mara mbili mbili.Japo mumewe naye amefanya dhambi kubwa ya kuzini.

Muombe Mungu kwa kumaanisha, nyenyekea. Ijumaa nilimuona Mungu akinifanyia muujiza ambao hata sasa bado nashindwa kujua how ime happen. Sijui nisemeje ila nimemuona akitenda. Mungu ni mwaminifu, chukua Hilo jina la mchumba wako lipeleke kwenye kiti cha rehema umlilie Mungu kwa kumaanisha. Then utajua puma na mchele
 

Huuu ndio. Up.....I nsiotaka

Kwanini unajua usitajekanisa unafiki huo
 

Vilpi sema kama wameikamata na jf tuingiemsituni
 
Naomba kama kuna mtu ana ujuzi wa kutosha katika teknohama, anisaidie kuangalia hii namba ni ya nchi gani: +61 3 432 436 471
Kama utapata na street address itakuwa poa zaidi!

Austaralia mkuu wameanza
 
Eti mtu anakunywa castle milk stout afu anasema walokole wameiaibisha din yake,yan hii dunia Ina mauzauza mpaka najuta kuifahamu,cjui mungu wa isaka,mungu ya yakobo,mungu wa Ibrahim tutamwambia nn cku ya mwisho!

Nataka nikuambie mimi ni mprotestant pure na sina unafiki wa kilokole,nakunywa na naheshimu amri kumi za Mungu na sina unafiki mbele ya Mungu.
 
Hakika Mungu ni wa ajabu.....hata kama sio leo wala kesho ukweli utajulikana tu....hata kama utaamua kumnyamazisha msema kweli kwa namna yeyote ile.Hakuna alie mzidi Mungu.
 

Anapiga maombikwanza unafikiri Lusaka unayochekelea no rahisi lazima apigwe upako else atakeshea kwenye dari zetu nakushiba pumba milele
 

Asante dada kwa ushauri wako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…