Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
mimi nishamwambia boy wangu kanisani siendi maana nina vidonda sana juu ya pastor sijui niende wapi kukutana na mungu
hili la kwenda kanisani ex wangu yupo umu tulisumbuana sana nadhani hapo alipo anacheka tu akiona hapa maana kila siku siendi akiniuliza sina jibu la kueleweka moja kwa moja
ILA SIKUWAHI KUMWAMBIA NI KWAMBA HATA KAMA WANATAJA JINA LA MUNGU MAOVU YAO YANANISHINDA KUTOLERATE WAKIWA MADHABAUNI
mzee wa upako nammezea kwa leo ipo siku nina details zake nyingi
yaani mimi mwinjilist wa kanisa langu nilimo barikiwa ni issue yaan siku moja nitaeka uzi wake
Heee walishakupitia nini,??vwakakubulshit