Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Alafu jamaa ni mjanja sana kuna mahali binti alikuwa anataka kumyingiza mkenge anamuuliza “...shemeji unajua kinachoniuma kwanini umenifanyia hivi mimi afadhali hata ungetoka nje.." jamaa anamkatisha anamwambia “...mimi sijakupigia simu tupige stori kuhusu nini kilitokea ila nimekupigia kukuomba msamaha..."!! Nahisi pia alikuwa anahisi kunaweza kukawa na possibility kuwa anarekodiwa...
 
Jamaa amekosea sana anatumia pesa kumbaka shemejiye eti bila mimi usingepata kazi morocco, bila flora asingejua ofic ya Mengi, ya Lowassa bila mimi flora asingekuwa anapata show.. yaani kama mimi ndo hakimu wa hii kesi na muhukumu kifungo cha maisha iwe fundisho kwa wengine usitumie fedha zako kama fimbo ya kuwachapia wasio na pesa au maskini.
 
Huyu ni bonge la kilaza afu ni boya, ni arrogant, ni mshamba, ni hovyo tu tofauti na muonekano wake!!! Hovyoo. Ana mambo ya kiswahili swahili. Kajichoma mwebyewe sasa ataiona Tanzania mbaya
 
Dah! Aisee, huyu jamaa asingepiga simu, nini hiki sasa?? Ameweka kila kitu wazi.
 

Pasco kuna ukweli mwingi tu katika hilo ni ushahidi usioacha chembe ya shaka
 
The guy is so arrogant! Hakuna chochote duniani kinachoweza kuhalslisha yeye kumbaka binti wa miaka 17 !!!!!
Nimechefuka mno na nimetapika!!!!
😲😲😲😲
 
Hahahaha aise kama ni saut yake basi noma sana, kumbe alikula mzigo aisee! Duh balaa hili
 
The guy is so arrogant! Hakuna chochote duniani kinachoweza kuhalslisha yeye kumbaka binti wa miaka 17 !!!!!
Nimechefuka mno na nimetapika!!!!
😲😲😲😲

Mkuu pole sana, ndio dunia yetu hii!

Usisahau all men are polygamist by nature, vumilia usitapike
 
Kuna mtu amchezea ila kwanini umle shemeji ni bora angetembea na rafiki wa mke wake
 
Pasco kama umeisikiliza hii clip vizuri, Mbasha haongei na MBAKWA, anaongea na aidha dada au ndugu wa kike wa mbakwa, yule wa kike anamwambia "kinachoumiza ni kwa nini akawa yeye, KWA NINI HATA HUKUTAFUTA MWINGINE NJE?" Kwa uelewa wangu mdogo, hii clip hakuirecord mbakwaji, bali ni ndugu wa mwathirika wa tukio anayejaribu kutumiwa kusawazisha mambo, mwishoni anaambiwa Mwambie Suzy na Flora kwamba yaishe na tusameheane maana wewe unahitaji msaada wangu zaidi katika maisha yako pia inasikika hata juzi umeanguka barabarani .... NIKATOA ELFU 15 ... Ina maana huyu jamaa anawasaidia ndugu wa Frola hivyo vipesa vidogo vidogo huku tayari anajua ni kwa njia zipi anazilipisha INDIRECTLY. Sioni hata chembe ya kumtetea huyu mtu, japo simhukumu, LAKIN KWA HILI Anaonekana wazi kuhusika kwa 99%,

Ni mjanja gani atatengeneza clip yenye sauti ya mhusika, akikiri kosa japo blindfolded, Huku akionekana wazi kuitambua vyema familia ya Mbasha mpaka secrect issues kama hiyo ya huyo mama, na kuhusu Kulola?

Tusihukumu, Lakini kwa hili sheria ifanye funzo,
kama mtu alifanya first time, akaonywa, akarudia tena, Harafu bado tuseme imetengenezwa, HAPANA

Hatutakuwa tunamtendea haki mwathirika wa tukio, Mbaya zaidi ni mtu anayedai kumtumikia BWANA,

WHAT A SHAME!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu/watu nje ya Mr. Mbasha anayetuhumu kwamba kabakwa,na Flora mwenyewe,wapo nyuma ya hili sakata. Uchunguzi makini ndio utatupa mwanga.
 
Huyu binti alikubaliana na Mbasha, ndiyo sababu hakupiga kelele au kutoa taarifa polisi mara ya kwanza. Nadhani watu wameinusa na sasa anadai kubakwa! Kwangu mie nadhani mchezo huo ni wa siku nyingi, sasa dada mtu akaamua kumtema kiaina kwa kumtumia mdogo wake. Kwa Mbasha uchu wa fisi umemponza na sioni kwa nini asikae mvua 30 ili ashike adabu na funzo kwa wamendeaji wa wasichana wadogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…