Mkuu Mwakibete, asante kwa hii kitu, nimeisikiliza ni "bonafide genuine!", Mbasha hakujua kama anarokodiwa!, ile fixing niliyoizungumzia kule inathibitishwa!, binti aliyebakwa hawezi kumrekodi mbakaji wake na kuipost hiyo clip humu, huyu aliyepanga mpango huo, ndie aliyemshauri mbakwaji apokee simu ya mbakaji na kumrekodi, ili kuutumia msamaha huo kama ushahidi wa kumsokomezea jamaa kwenye mvua 30!.
Very Sad!.
Pasco
Pasco kama umeisikiliza hii clip vizuri, Mbasha haongei na MBAKWA, anaongea na aidha dada au ndugu wa kike wa mbakwa, yule wa kike anamwambia "
kinachoumiza ni kwa nini akawa yeye, KWA NINI HATA HUKUTAFUTA MWINGINE NJE?" Kwa uelewa wangu mdogo, hii clip hakuirecord mbakwaji, bali ni ndugu wa mwathirika wa tukio anayejaribu kutumiwa kusawazisha mambo, mwishoni anaambiwa
Mwambie Suzy na Flora kwamba yaishe na tusameheane maana wewe unahitaji msaada wangu zaidi katika maisha yako pia inasikika hata juzi umeanguka barabarani .... NIKATOA ELFU 15 ... Ina maana huyu jamaa anawasaidia ndugu wa Frola hivyo vipesa
vidogo vidogo huku tayari anajua ni kwa njia zipi anazilipisha
INDIRECTLY. Sioni hata chembe ya kumtetea huyu mtu, japo simhukumu, LAKIN KWA HILI
Anaonekana wazi kuhusika kwa 99%,
Ni mjanja gani atatengeneza clip yenye sauti ya mhusika,
akikiri kosa japo blindfolded, Huku akionekana wazi kuitambua vyema familia ya Mbasha mpaka secrect issues kama hiyo ya huyo mama, na kuhusu Kulola?
Tusihukumu, Lakini kwa hili sheria ifanye funzo, kama mtu alifanya first time, akaonywa,
akarudia tena, Harafu bado tuseme imetengenezwa, HAPANA
Hatutakuwa tunamtendea haki mwathirika wa tukio,
Mbaya zaidi ni mtu anayedai kumtumikia BWANA,
WHAT A SHAME!!!