Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
hastahili msamaha hata kidogo due to the following:
1:ANADHARAU SANA HASA PALE ALIPOSEMA sijakupigia tupige story bali nimekupigia kuomba msamaha which means hata kumbaka alimwambia hivyo hivyo vua kufuli BEND OVER!!! .lakini pia ni wazi kwamba hata nyuma ya pazia hana uhusiano mzuri na shemejie
2:ANATUMIA VIJIHELA VIDOGO KAMA FIMBO.hivi huyu angekua kama kina mengi ingekuaje????watoto wa shule si wangekoma.,pili je wale wanaosaidiwa??sasa mtu kutoa elf 15 ndo anaongea kama risala yaani kaitaja kama mara 3...inaelekea ni mchezo wake kuhonga na kula PAPUCHI ZA WATU HOVYO
3:ANAMYANYASA MKE WAKE BI FLORA.ni dhahiri kwamba ana mnyanyasa ni kama kumwambia mkeo uliemuoa kijijini bila mimi hata kuoga usingejua, jambo ambalo ni la kusikitisha
4:HASTAHILI TENA KUWA NYUMA YA KAZI ZA FLORA.hata kama huyu bwana hatasamehewa kuwa nyuma ya kazi za flora ni uzalilishaji wa ibada ya nyimbo,na hakuna atakaeweza kubarikiwa tena na kazi zake LABDA MCHUNGAJI MAXMILLAN ALIEKUTWA AKICHEZEWA NA WADADA UCHI
5:JAMAA NI MBULULA.kwa nini???kwa sababu watu huchepuka ndani au nje ya ndoa kwa makubaliano lakini si kubaka nimemuona katika tasnia ya uchepukaji ndo anaivamia yawezekana alikua muaminifu hana skills za kuchepuka
6;HIYO NI SAUTI YA MBASHA.mwenye wimbo wake aweke link kuna wimbo flani aliimba na mkewe wa kuabudu kiasi kwamba sauti yake inasikika vyema

mwisho;HATA KAMA KATIKA HIYO SAUTI HAKUSEMA NI KWELI ALIBAKA,JE NI JAMBO GANI BAYA ALIFANYA?????tuangalie ndugu kutokunyima haki kwa wote???maana wabakaji wasipo adhibiwa kesho atabakwa mtoto wako na kupewa VVU at the age of 14
 
Hivi Mwasumbi alipoteleaga wapi? Nakumbuka kaseti yake moja 1990 flani hivi, na sijawahi kumsikia ever again!
Mkuu Pasco, ivi kwa ishu ilipofikia kuna namna ambayo hii ishu itaweza kumalizwa chinichini kweli.

Namkumbuka mzee wangu Mwinjilisti Mwasumbi. Haya mambo bwana.
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi sijasikia kakiri.Lakini Mungu awasaidie hii familia.Kama ni muda wa kumtafuta Mungu kikweli basi ndio wakati wake wa Flora Mbasha
 
Hivi Mwasumbi alipoteleaga wapi? Nakumbuka kaseti yake moja 1990 flani hivi, na sijawahi kumsikia ever again!
King'asti, mara ya mwisho Mwasumbi alisomewa na pilato mvua 30 kwa kesi kama ya mbasha but sijajua aliendelea vipi coz alikuwa anataka kukata rufaa.

Too sad. Nazikumbuka nyimbo zake pia.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu/watu behind the scene ya movie hii wenye nia ovu ya kuwamaliza hawa vijana.

hamna hata mtu,mchawi mwenyewe mbasha,huyo mtu wa michepuko kitambo,labda michepuko yake ndo inamlipiza.
 
Kuna vitu vingi vinejificha katika hili suala, pia inaonekana wako watu nyuma ya pazia wanaoichezesha hii sinema kummaliza mbasha!!

Bro hpo kuna shida hawa mabinti ni shida toka kitambo wamekulia kwa babu n bibi yao ila ni majanga kuanzia kwa flora,mbasha hajabaka kajilia kwa hiyari yake
 
We ndo umeongea ukweli hapa,maana malezi ya bibi na babu nayo mtihani kweli
Bro hpo kuna shida hawa mabinti ni shida toka kitambo wamekulia kwa babu n bibi yao ila ni majanga kuanzia kwa flora,mbasha hajabaka kajilia kwa hiyari yake
 

Hawa kina dada ni shida sana tabia zao siyo hii imepangwa ukwel utajulikana tu,nawafahamu wakiishi kwa babu yao ilikua majanga ngumu kumeza
 
Mkuu Engare, lakini jamaa hajakiri kubaka. Ye kasisitiza msamaha.

Maelezo yake tu yanatosha kujieleza kaka. Kasema "ndio kweli umeumia..." So ana admit kamuumiza binti. Ila kinachoniboa ni jinsi anavyotake things kirahisi rahisi tu. Misaada yake ya elfu kumi kumi anaona ni issue sana, anajiona kama ni life saver. Nina wasiwasi na elimu yake.
 
Last edited by a moderator:
We ndo umeongea ukweli hapa,maana malezi ya bibi na babu nayo mtihani kweli

Mimi namjua sana flora toka anasoma taqwa full mchepuko mpka babu alichoka,ni jirani na hom kwetu kma nyumba ya 6 hivi toka kwao so hii ni ki2 planed
 


Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!

Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!!

Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho florah alikuwa London walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...

Baada ya Florah kurudi Tanzania ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA.. inasemekana kuwa katika kipindi hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya forah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah arirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)! Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano anamchngaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM amempangishia nyumba ya ghorofa pale ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!! Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana.....

NAOMBA TUDIGEST HII KWANZA ALAFU NTARUDI HAPA KUELEZEA YAFUATAYO

1. Kisa cha mbasha “kubaka"
2. Milioni 10 alizotoa GWAJIMA kwenye msiba wa kulola
3. Mungu akinipa ujasiri nitamtaja kabisa mtu aliye nyuma ya pazia ya hii sinema..
 
Kova jamaa kajilengesha huyo kamata kama kuku.
 
Ushahidi Wa Vyombo Vya Ki Electroniki Mahakamani Havitumiki Kwani Mtu Anaweza Kutengeneza Sauti Kwenye Computa Na Hvy Haina Nafasi Kubwa

Kwa Tanzania labda, ila mabara mengine kuna wataalam wa sauti wanaoweza kucertify na ushahidi ukawa established
 

Kwa hiyo Gwajima anammega Frola Mbasha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…