Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

mkuuu nashukuru sana kwa hizo nondo
ila huyo maxmillan sio yule aliyedkwa akiwachezewa na wanawake anaoenda kuwauza dubai??
alafu dada flora kwa nini hakuzunguka ziarani na mumewe kama wanavyofanya watu wa mataifa CARTER FAMILY jayz na beyonce????japo na yeye alipigwa na solange katika elevator na mpaka sasa haijulikani kisa nini

ANYWAYS SHETANI ALIKUA MALAIKA WA KUSIFU NI MAANA KATIKA KWAYA ANAJIINGIZA SANA MOJA KWA MOJA,
mkuu endelea kutoa nondo
 
Mkuu Nisome Kometi Zangu Kwenye Topic Ya "Mume Wa Mwimbaji Aliyetuhumiwa Kubaka Ni Huyu Hapa" Utaona Nimehoji Sababu Za Frola Kwenda Kuishi Hotelini Badala Ya Kwenda Kwa Wakwe Zake Kukaa Na Kupeleka Malalamiko Yake Akingoja Mumewe Aitwe Na Wazazi Wake? Hv Mke Wa Mtu Kuishi Gest Tena Peke Yake Na Mdogo Wake Asiende Nae Hapa Kunanini Huko Gesti? Hv Ni Kweli Huko Alikuwa Analala Peke Yake? HAYA ET MSICHANA ALIYEBAKWA ET KACHUKULIWA KWENDA KUISHI NYUMBANI KWA GWAJIMA!! HALAFU GWAJIMA HUYUHUYU KAMSHAWISHI FROLA AHAMIE KANISA LAKE NA AKAMPACHIKA NA MAVYEO KISHA AKAANZA KUZUNGUKA NAE HUKU AKIJUA NI MKE WA MTU NA MUMEWE FROLA ALIGOMA MKE WAKE KWENYE HY ZIARA!! HY HAIKUTOSHA MCH. GWAJIMA AKAMPELEKA FROLA UINGREZA MASOMONI BILA RIDHAA YA MUMEWE FROLA!! JIBU KIBURI CHA FROLA KWA MUMEWE KIMEJENGWA NA MCH. GWAJIMA NA GWAJIMA ANAHUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA KUISAMBARATISHA NDOA HII. KWANINI MSICHANA ANAEDAI KUBAKWA AMCHUKUE? HUYO MSICHANA SI ANAO NDUGU ZAKE? AU KWANINI FROLA HAKUMCHUKUA HUYO MSICHANA AKAISHI NAE HOTELINI?
 
Huyu dada cjui km kwel anamcfu Mungu maana mambo yake ya kula bata na mumewe yananiacha hoi. Mavaz anayovaa sometime lazma ujifikirie mara 2. Co siri kawaaibisha waimba gospo wt!!
 
ndo maana sisikilizagi gosipo oooh gossp haswa za tz
 

Hatimaye kumekucha. Tiririka mkuu. Tunasubiri sana hiyo namba 3 na Mungu akutie ujasiri.
 
Mbona hii audio clip hai download?au imeondolewa?
 
Kwanini asivunje ndoa? wamemkosea alafu wamemtega wakamnasa.Huyo ndio Gwajima mfufua watu.
 

Huyu Maximilian ni full majanga yani alafu bonge la marioo!! Kinachomsaidia ni kwamba amemuoa mdogo wake Gwajima, na wamezaa watoto wawili, ila huyu jamaa ni ni aibu yani michepuko kwake ni kawaida sana! Jamaa hana ishu yoyote hapa town mwenyewe anajifanya mchungaji kisa amemuoa mdogo wake Gwajima lakini ishu zake ni kulelewa na mijimama yenye hela!! Kuna muheshimiwa fulani viti maalum naye ni muimbaji jamaa anakula mzigo hadi kesho!!! Hiyo ishu ilivyokujaga kugunduliwa ilikuwa ni balaaaaaa unaambiwa, too bad vijana wa shigongo hawakuinasa... yani hapa natamani nifunguke zaidi ila naogopa nita-reveal my identity!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…