masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!!
Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho florah alikuwa London walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...
Baada ya Florah kurudi Tanzania ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA.. inasemekana kuwa katika kipindi hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya forah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah arirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)! Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano anamchngaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM amempangishia nyumba ya ghorofa pale ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!! Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana.....
NAOMBA TUDIGEST HII KWANZA ALAFU NTARUDI HAPA KUELEZEA YAFUATAYO
1. Kisa cha mbasha kubaka"
2. Milioni 10 alizotoa GWAJIMA kwenye msiba wa kulola
3. Mungu akinipa ujasiri nitamtaja kabisa mtu aliye nyuma ya pazia ya hii sinema..
mkuuu nashukuru sana kwa hizo nondo
ila huyo maxmillan sio yule aliyedkwa akiwachezewa na wanawake anaoenda kuwauza dubai??
alafu dada flora kwa nini hakuzunguka ziarani na mumewe kama wanavyofanya watu wa mataifa CARTER FAMILY jayz na beyonce????japo na yeye alipigwa na solange katika elevator na mpaka sasa haijulikani kisa nini
ANYWAYS SHETANI ALIKUA MALAIKA WA KUSIFU NI MAANA KATIKA KWAYA ANAJIINGIZA SANA MOJA KWA MOJA,
mkuu endelea kutoa nondo