ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Mi sikatai kumsema Gwajima ila usimlaumu peke ake, tukuone pia unalaumu na wengne , maana isifike pahala Gwajima akaonekana ndio wa kunyooshewa vidole pekeake . . .Hapa swala sii dini gani, ni kwamba kiongozi wa nafsi za watu anapaswa kuwa aje? Mm nafikiri unatetea mtu bila kujali Mungu anataka nn. Lakini ungejua sheria za ukuwani ktk biblia Gwajima hasingefaa kuwa kuwani kwa kashfa zake hizi. Kwa haraka haraka naona Mathayo 24: ikitimia na watu hawaoni.