iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
Huyo Mbasha naye kachanganyikiwa. Yeye anavyotoka na vibinti vya shule ndio anajiona mjanja. Dogo ana tabia chafu sana huyu hata wakati yuko na ex wife wake. Watu wanamsitiri ila anajidai ana kiburi cha beberu.