ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Mi sikatai kumsema Gwajima ila usimlaumu peke ake, tukuone pia unalaumu na wengne , maana isifike pahala Gwajima akaonekana ndio wa kunyooshewa vidole pekeake . . .Hapa swala sii dini gani, ni kwamba kiongozi wa nafsi za watu anapaswa kuwa aje? Mm nafikiri unatetea mtu bila kujali Mungu anataka nn. Lakini ungejua sheria za ukuwani ktk biblia Gwajima hasingefaa kuwa kuwani kwa kashfa zake hizi. Kwa haraka haraka naona Mathayo 24: ikitimia na watu hawaoni.
Mwanaume gani miaka mitatu unajiliza kisa kumegewa
Achana nae lofa huyo!Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
mbasha, mgfl, bashite, kangi lugola, etc, wote mbona akili zinafanana?Ila wasukuma mwaka huu wanavuma kila linaloibuka msukuma dah ngoja tuone hizi series zitaishia wapi
Kajiingiza kwenye siasa kaacha alichopaswa kufanya kama mtumishi wa GodMi sikatai kumsema Gwajima ila usimlaumu peke ake, tukuone pia unalaumu na wengne , maana isifike pahala Gwajima akaonekana ndio wa kunyooshewa vidole pekeake . . .
Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
Hahahahaaaaa! [emoji23] kwani Mbasha alikuwa anafanya kazi gani hasa ya kumuingizia kipato kwaajili ya kutunza familia? Kama kuna anaefahamu wadau tafadhali!
Kumsindikiza floraHahahahaaaaa! [emoji23] kwani Mbasha alikuwa anafanya kazi gani hasa ya kumuingizia kipato kwaajili ya kutunza familia? Kama kuna anaefahamu wadau tafadhali!
So the annointed ones hapa bongo wanaruhusiwa kuwashambulia wenzao as well?Natamani kila mmoja ajifunze toka katika link hapo chini.... "Touch Not My Anointed" "Touch Not The Lord's Anointed"
So the annointed ones hapa bongo wanaruhusiwa kuwashambulia wenzao as well?
Benny anasema hapo hata Yesu hakumsema Yuda hata alipojuwa kile Yuda anaenda kufanya simply Yuda alikuwa one of the annointed ...... Something quite different with our so called annointed Gwajima.....Mungu atuongoze mwenyewe katika hili.
Bado namkumbuka kipindi cha mashambulizi kwa mtumishi mwenzie Askofu Pengo....
Confusion....Who is the annointed between them.....
Oo Lord okoa taifa lako Tanzania.
Unataka kumaanisha anachokisema Benny Hinny hujaelewa?Yes... Benny anasisitiza kuwa we are not the ones to judge.... Kama ana mapungufu .... etc Let the Lord who called him deal with him...... Ametoa mfano wa Sauli hapo kuwa pamoja na yooote ambayo alikuwa anayafanya.... He was still the anointed of God. Nimeogopa sana.
Wewe ulitaka iwe lini?Hata hivi angalia wameachana lini na mkewe,kwann hakusemmma chochote muda wote na kwanini leo?=...
Mtafunwaji alibakwa aliridhia na akapanua mwenyewe kitu kimpekenyue?Gwajima kamtafuna sana mke wa Huyu jamaa,na kesi ya magumashi alimsakizia...Uzi wake uliletwa humu kitambo sana..