iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
Kufikiria kwa kutumia makalio ni kitu cha hatari sana [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mke wa mtu ni mke wa mtu tu haviusiani chochote na mambo ya kazi ya Mbasha.
Mapenzi yaliteka hata wafalmeMwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya sana na roho ya uharibifu
pia amethibitisha kuwa mtoto wa mwisho wa Flora siyo wa kwake kitu amabacho kinapigia mstari kuwa Flora alizaa na mchungaji huyo kwani ndiye alikuwa nae benet
Ukishakuwa mzigo kubali matokeo ujipange upya!Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya sana na roho ya uharibifu
pia amethibitisha kuwa mtoto wa mwisho wa Flora siyo wa kwake kitu amabacho kinapigia mstari kuwa Flora alizaa na mchungaji huyo kwani ndiye alikuwa nae benet
Duh......Huyo Mbasha naye kachanganyikiwa. Yeye anavyotoka na vibinti vya shule ndio anajiona mjanja. Dogo ana tabia chafu sana huyu hata wakati yuko na ex wife wake. Watu wanamsitiri ila anajidai ana kiburi cha beberu.
Hahahahaha noma sana, ganda la ndizi eeh!!!Mbasha namjua nje ndani ni Malioo huwa anavizia wadada wenye pesa apate kuteleza anapenda kulelewa
Mjinga sana huyo jamaa namjuaHahahahaha noma sana, ganda la ndizi eeh!!!