johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa sjui watamshika Nani 😀😀😀Mtu aliyekuwa anadanganya amekufa
Mpango kapewa zawadi ya kuwa Makamo wa Rais baada ya kuisababishia nchi matatizo makubwa.Mtu aliyekuwa anadanganya na kulazimisha wengine wadanganye amekufa, tumshukuru Mungu
Huku ndiyo walipokuwa wanapigia pesa haswa kwenye miradi mikubwaBaada ya sponsor kwenda zake ndio anapata akili za kuhoji deni la taifa.
Anyways, ile slogan za pesa zetu za ndani maana yake ilikuwa tutalipa wenyewe hayo madeni, si unajua tena hatuwezi kusema mabeberu wanatukopesha pesa za maendeleo na hela za wastaafu tumenunulia ndege.
Angehoji nini wakati tuliambia TRA wanakusanya matrilioni kwa mwezi na hatukopiAlikua wapi kuhoji muda wote huo
Naona hata NCCR mageuzi haipo tenaMbatia alishajifia kitambo sana, RIP mama TANZANIA.
Naona hata NCCR mageuzi haipo tena
Mama Tz, aliunga mkono juhudi na NCCR ikafa mazimaSijui anachachamaa nini, huyu anahoji kama raia mwingine yeyote tu.