Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Utakuta CCM nao wanajiuliza, dah vituko haviishi nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deni la Trilioni 71 ni kidogo sana kwa nchi kama Tanzania cha muhimu pesa hizo zimetumikaje. Marekani mtu mmoja anamiliki hadi Trilioni 400.Mwenyekiti wa Nccr mageuzi mh Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?...
DR. MPANGO NI ZAIDI YA OLE SABAYA.Mpango kapewa zawadi ya kuwa Makamo wa Rais baada ya kuisababishia nchi matatizo makubwa
Kawekewa kinga ya kutoshitakiwa sasa hakuna namnaDR. MPANGO NI ZAIDI YA OLE SABAYA.
Hakuwa Bungeni. Waliokuwepo hawakuwa wakielezwa ukweli kuhusu deni la Taifa. Wanahabari hawakuruhusiwa kutoa taarifa kama hizi, hii ilikuwa Siri ya Sirikali.Alikua wapi kuhoji muda wote huo
Tadea ( Shibuda)Hivi vichama vinavyoongozwa na wachagga tabu tupu.
Vyama vimekuwa vitega uchumi binafsi, watubwanataja tu title za kuvimbia mjini...
Mbatia alikuwepo bungeni bhana!Hakuwa Bungeni. Waliokuwepo hawakuwa wakielezwa ukweli kuhusu deni la Taifa. Wanahabari hawakuruhusiwa kutoa taarifa kama hizi, hii ilikuwa Siri ya Sirikali.
Halafu walikuwa mabingwa wa propaganda, utadhani kuto kwenye vita ya Kagera... [emoji23] [emoji23]Serikali ya awamu ya 5, kwa zaidi ya 70%, iliendesha mambo yake kwa hila, hadaa na uwongo.
Serikali zote Duniani zinazominya uhuru wa habari huwa zinaendeshwa kwa kuwahadaa wananchi.
Ni kweli mkuu....Serikali ya awamu ya 5, kwa zaidi ya 70%, iliendesha mambo yake kwa hila, hadaa na uwongo.
Serikali zote Duniani zinazominya uhuru wa habari huwa zinaendeshwa kwa kuwahadaa wananchi.
Mzee wa mama Tanzania
Mwenyekiti wa NCCR ,Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!
Shibuda alitokea CCM, akaenda CHADEMA baadaye akauziwa TADEA.Tadea ( Shibuda)
Alikuwa anaimba mapambioAlikua wapi kuhoji muda wote huo
Hapa mnanikumbusha ukiwa na biashara yako unaiendesha na wasaidizi wako
Mwenyekiti wa NCCR ,Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!
Unamanisha deni la Taifa limeongezwa na hivi vyama?Hivi vichama vinavyoongozwa na wachagga tabu tupu.
Vyama vimekuwa vitega uchumi binafsi, wanajumbatia vyama ili wapate title za kuvimbia mjini
- TLP ( Mrema )
- CDM ( Mbowe )
- NCCR ( Mbatia )
Possibly, unadhani pesa za fursa na bahasha vinatoaga wapi?Unamanisha deni lataifa limeongezwa na hivi vyama?