Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
SanaMnafiki Sana mbatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaMnafiki Sana mbatia
huyu nae siasa zake ni deni la taifa. Cha msingi angehoji kama mkopo una manufaa gani. kuna mikopo watendaji wanaingia ili kujinufaisha. pengine lengo zuri ila hela zinaishia kuliwa. Yeye kila siku kama vile hataki nchi ikope wakati wataalam wa ndani na nje wanaona nchi bado inaweza kokopa kwani deni ni himilivu.
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!