mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
HahahahAlikua wapi kuhoji muda wote huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahAlikua wapi kuhoji muda wote huo
Tatizo kubwa la Nchi hii ni huu mhimili wa wananchi basi!! Cha ajabu ni kwamba ndio muhimili ambao unalipana mishahara na posho nono.
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!
Utakuta CCM nao wanajiuliza, dah vituko haviishi nchi hii
Si uanzishe chako kisicho na kabila wala dini mzee babaHivi vichama vinavyoongozwa na wachagga tabu tupu.
Vyama vimekuwa vitega uchumi binafsi, wanajumbatia vyama ili wapate title za kuvimbia mjini
- TLP ( Mrema )
- CDM ( Mbowe )
- NCCR ( Mbatia )
Mama Tanzanua akili kisoda. Utawala wa kishetani wa Jiwe umelisaidia sana taifa kuemgua wanafiki na wazalendo wa kweli. Zamani Ilikuwa rahisi kuamini kwa maneno kuwa Slaa, Lipumba na Mbatia wanapigania maslahi ya taifa kumbe sio kweli. Nyakati zimethibitisha hilo.
Hiyo kauli ilkua ya kudanganya wasiojielewa, lakini mtu kama Mbatia kwa nafasi aliyonayo alikua anajua ukweli lakini alikaa kimya alafu sasahv anajifanya kushangaa. Aisee naomba akae kimya tu tunamheshimu sana kwa mchango wake sasa amefika mwisho aache wengine watudanganye sio yeye tenaAngehoji nini wakati tuliambia TRA wanakusanya matrilioni kwa mwezi na hatukopi
😂😂😂😂😂 Na kuwa hadaa nmejitoa sadaka kwa ajili ya wanyonge. Kuongoza masikini rahisi sanaWash brain Magu aliiweza
Ingekua vita ya jihad,wapelestina wangetusubiri
Alikua wapi kuhoji muda wote huo
Jamaa alikuwa tapeli sana yule71 trillion imetokea wapi tena ? Mbona tuliambiwa serikali ilikuwa inakusanya kodi hadi inavuka lengo kumbe ni za dhulma kwa kufunga account za wafanya biashara
Chini ya chama chako CCM usitegemee la maanaJuzi tumeongezea Mbili kwa miradi ambayo hata Haina umuhimu wa kukopa fedha,
Jamani tunaopofanya maamuzi ya kukopa tukope kwa ajili ya miradi itayotuondoa katika utegemezi na sio Kwa lengo la kukopa tu ili kujenga mahusiano mazuri na hizo taasisi za kifedha, tutabakia maskini kwa muda mrefu sana.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, JPM alitupiga sana na angeiweka Nchi mufilisi kwa uwongo wakeMtu aliyekuwa anadanganya na kulazimisha wengine wadanganye amekufa,
Sasa Tanzania itakuwa inaongoza kwa madeni Africa nzima.
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!