ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Ona kazi yake sasaJuzi tumeongezea Mbili kwa miradi ambayo hata Haina umuhimu wa kukopa fedha,
Jamani tunaopofanya maamuzi ya kukopa tukope kwa ajili ya miradi itayotuondoa katika utegemezi na sio Kwa lengo la kukopa tu ili kujenga mahusiano mazuri na hizo taasisi za kifedha, tutabakia maskini kwa muda mrefu sana.
matumizi ya kawaida ni makubwa kuliko matumizi ya maendeleo.....