Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haki za maiti boss , pitia katibaNikawekwe pingu Pale juu ya Kabuli
Hana tofauti na gambo,ndugai kurudi kinyume nyume na kumsaliti shujaaHuyu James Mbatia aliwahi mshiriki wa karibu wa Magufuli halafu leo anajitia fyoko fyokoooo
Umeona eh,mimi mwenyewe nashangaa shujaa wa Afrika kwa lipi???Kununua ndege??Kuua upinzani Tanzania??Kuua demokrasia Tanzania??Hapa kuna matilioni aliyotumia kununua wapinzani. Eti shujaa wa Africa,Shujaa wa Africa my ass
Wachumia tumbo waleSiku hizi atusikii tena kina malasusa,gamanywa, shehe ahad wakiandaa makongamano yasiyoisha ya kumsifia shujaa wa Africa
Tanzania siyo nchi masikini
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa kutubebesha mzigo wa deni bila kutujulisha mapema.
Source: Clouds tv!
Yule shehe kada sijui anaishije siku hizi pasipo makongamano au mikutanoWachumia tumbo wale
Tena akamsifia sana na kumwita ikulu na kumtua mbeya kuua chademaWakati wa Jiwe jamaa alikuwa kimya akila dili butu la kuwa ati chama kikuu cha Upinzani Bungeni, sasa sijui kiko wapi. Wenzake wanazunguka mikoani ku-huisha uhai wa chama chao, yeye yupo ofisini anasubiri kipenge cha uchaguzi ashiriki - ili aitangazie Dunia kwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki.
Huyu mzee bana.
kwakweli hizo pesa zote zimeishia mifukoni mwa WanaCCM. Yeye anayekuja kulalamika ni miongoni mwa waliozifaidi. Anatuchora tuMbona mnashambulia mleta hoja badala ya hoja wewe unaonaje deni la ccm kutaka liwe deni la Taifa nisawa?
Mama Tanzanua akili kisoda. Utawala wa kishetani wa Jiwe umelisaidia sana taifa kuemgua wanafiki na wazalendo wa kweli. Zamani Ilikuwa rahisi kuamini kwa maneno kuwa Slaa, Lipumba na Mbatia wanapigania maslahi ya taifa kumbe sio kweli. Nyakati zimethibitisha hilo.mama Tanzania
Laanatuarah MbatiaMama kutoka Unguja hana roho mbaya, inabidi mwanasiasa aongee kwa sauti ya juu ili teuzi ziweze kupatikana.
Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na nia mbili, ile inayojulikana kwa wote na ile inayojulikana moyoni tu.
CCM si watu wazuri. Walituambia sisi ni DonaKantry tupo uchumi wa katiCCM mnatupiga saana aisee