johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee CCM siyo wapinzani!Si ameungana na ccm tayar, na huku kwa wapinzani wa dhati nako anataka?? Mwambieni mshika mbili moja humponyoka
Hata Mbatia sio mpinzani, alishaunga juhudi fake kitamboBwashee CCM siyo wapinzani!
Usharika wake na CCM unamtosha kabisaMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
James Yuda Iskariot Mbatia! Nani ashirikiane naye? CDM is not that much the way you them of!Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyu mzee wa Mama CCM kazeeka vibaya...kapoteza Legacy yake yoote aliyoijenga kama Mpinzani makini siku za nyumaMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Amewaza UKAWA bwashee!Najaribu kutafakari huyu mtu mpaka katamka hayo maneno amewaza nini.
Nafikiri ccm ni wapinzani, Bwashee, kama tunaongea Kiswahili! Au hawaipingi CDM?Bwashee CCM siyo wapinzani!
Baada ya kuona maji yanaanza kufunika puaMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
kwenda zake huko mamluki ya ccm sisi sasa hivi tuko na baba Tanzania,hili jamaa li nafikiMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!