Uchaguzi 2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Hawatakubali hawa vibaraka wenyewe wanapenda kupinga pinga ndo wanasikia raha
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Usharika wake na CCM unamtosha kabisa
 
Jamaa anapepesa macho,akijua kabisa anachoongea hamaanishi.Haaminiki tena.
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
James Yuda Iskariot Mbatia! Nani ashirikiane naye? CDM is not that much the way you them of!

James Yuda Iskariot

Judas Iscariot

1591325354305.jpeg

Description
Judas Iscariot was a disciple and one of the original Twelve Disciples of Jesus Christ. According to all four canonical gospels, Judas betrayed Jesus to the Sanhedrin in the Garden of Gethsemane by kissing him and addressing him as "rabbi" to reveal his identity to the crowd who had come to arrest him. Wikipedia
Died: Jerusalem, Israel
Buried: Akeldama Monastery, Jerusalem
Parents: Simon Iscariot, Cyborea Iscariot
 
Aache kutumia vibaya uzalendo wakati anapigania posho. Haelewi Tanzania vizuri. Tanzania Ni mama anayewabeba wote bila kubaguana kwa itikadi za dini wala siasa.
 
Najaribu kutafakari huyu mtu mpaka katamka hayo maneno amewaza nini.
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyu mzee wa Mama CCM kazeeka vibaya...kapoteza Legacy yake yoote aliyoijenga kama Mpinzani makini siku za nyuma
 
Mbatia will be a ccm mole in the opposition ranks.

He went to the state house at the invitation of Mr. John Magufuli where they struck a deal aimed at undermining the serious opposition and in the clandestine meeting Mbatia is reported to have been bankrolled with money that he is currently using to lure some Chadema members to join his party.

In the forthcoming general elections which is likely to be heavily rigged in favour of ccm, Mbatia is said to have been promised some free parliamentary seats as a complimentary for allegedly agreeing to help achieve the ccm cause.
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Baada ya kuona maji yanaanza kufunika pua
 
Mbatia kote anakutaka sio upinzani wala ccm.duh.basi amwachie mrema Kule ccm
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
kwenda zake huko mamluki ya ccm sisi sasa hivi tuko na baba Tanzania,hili jamaa li nafiki
 
Back
Top Bottom