Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo anataka wapinzani waungane na NCCR-CCM?Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...... eti usharika wa CCMUsharika wake na CCM unamtosha kabisa
Watu wa KKKT watakujia juu kufananisha usharika na huo uchafu uitwao SISIEMUsharika wake na CCM unamtosha kabisa