Uchaguzi 2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

Uchaguzi 2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo anataka wapinzani waungane na NCCR-CCM?
 
Back
Top Bottom