Mbatia ni waziri kivuli wa elimu kwenye Baraza la mawaziri wa KUB!johnthebaptist huyo ni mshirika wenu, mwenyekiti pekee wa chama cha upinzani anaepokelewa na RC katika ziara za kukiimarisha chama.
Chadema wakifanya ziara za kikiimarisha chama wanaishia mahabusu.
Huyo jamaa mpuuzi akalale mbeleee hukoMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Kinadharia ni hivyo lakini ki vitendo ni tofauti.Mbatia ni waziri kivuli wa elimu kwenye Baraza la mawaziri wa KUB!
Ukawa ilishavunjikaMbatia ni mwenyekiti mwenza wa UKAWA!
.Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Yote maisha bwashee.......... Muhimu ni ushindi tu!
No, amewaza zaidi ya hapo!.Amewaza UKAWA bwashee!
Ata mpata Mrema, na CUF vyama vya kijanja ambavyo vina tetea wananchi atavisikia kwenye bombaMwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Hata nccr siyo mpinzaniBwashee CCM siyo wapinzani!
Kupiga pinga.Hawatakubali hawa vibaraka wenyewe wanapenda kupinga pinga ndo wanasikia raha
Mbona wewe ndo umekosea sasaKupiga pinga.
CCTN vs CHADEMA
Kipinga pinga.Mbona wewe ndo umekosea sasa
Ushirikiano ? Na nani ?Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Unachapia mara nyingi hivyo utakuwa sio MtzKipinga pinga.
Hata maalimu aliitwa ikulu akiwa na ACTViko vyama vingi vilivyo kwenye list ya CCM, ni vyema Mbatia angeshirikiana na hivyo. Mfano kuna CUF, TLP, UDP nk.