Uchaguzi 2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

johnthebaptist huyo ni mshirika wenu, mwenyekiti pekee wa chama cha upinzani anaepokelewa na RC katika ziara za kukiimarisha chama.

Chadema wakifanya ziara za kikiimarisha chama wanaishia mahabusu.
Mbatia ni waziri kivuli wa elimu kwenye Baraza la mawaziri wa KUB!
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyo jamaa mpuuzi akalale mbeleee huko
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
.
IMG-20200604-WA0004.jpg
 
Ata mpata Mrema, na CUF vyama vya kijanja ambavyo vina tetea wananchi atavisikia kwenye bomba
 
CHADEMA lengo ni kuchukua madaraka, Mbatia lengo ni kuwa "mpinzani" mkuu. Directions mbili tofauti, hawawezi kuungana
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.

Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana kwa nchi yetu.
Ushirikiano ? Na nani ?
 
Viko vyama vingi vilivyo kwenye list ya CCM, ni vyema Mbatia angeshirikiana na hivyo. Mfano kuna CUF, TLP, UDP nk.
Hata maalimu aliitwa ikulu akiwa na ACT
 
Chama makini hakiwezi kuungana na Mbatia hata mara moja! kwanza niulize pale kuna chama au kuna mgonjwa tena wa icu.
mbatia haaminiki
nccr + tlp = ccmB. hivi watu wa marangu na kilema mna shida gani kuwa vibaraka?
 
Back
Top Bottom