Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
 
Hata kama na yeye ni msaliti lakini huo ndio ukweli kuhusu Katiba
 
Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Hao wenye katiba ambao ni wananchi ndo wanaanza kuamshwa kuhusu katiba,wenyewe hawana habari kabisaa na katiba.
 
Back
Top Bottom