Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
😅😅Anamaanisha ama ndio yale ya Leprofesorer.
Tunasubiri kwa hamu,kama sii yale ya buguruni na kwinginekoNgoja tuone...
Hao wenye katiba ambao ni wananchi ndo wanaanza kuamshwa kuhusu katiba,wenyewe hawana habari kabisaa na katiba.Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
ha hahahaha.we jamaa weweSawa mama Tanzania [emoji1]
Wasaliti ni wengi sanaHata kama na yeye ni msaliti lakini huo ndio ukweli kuhusu Katiba