pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mkuu hii ya ngiri nimeipenda sana na ndio ukweli 🤣Inasemekana Ngiri (warthogs) ni moja ya wanyama wasahaulifu duniani kuliko viumbe vyote alivyo viumba Mungu.
Ngiri anaweza kuwa akifukuzwa na Simba na katika kimbia yake akikutana na majani mazuri ya kula atasimama na kuanza kula, then ataanza kujiuliza "hivi nilikuwa nafukuzwa na Simba Jana au Leo?".....ghafla Simba anatokea na kumrarua tayari Kwa kitoweo !!
James Mbatia kaamua kujitoa ufahamu na anadhani watanzania ni wasahaulifu kama Ngiri wakati yeye ni zaidi ya Ngiri.....
Anastahili kwa matendo aliyowafanyia wenzie huyu mtu.