Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ok.mwenyekitiMwanasiasa mkongwe, James Mbatia, amesisitiza kuwa kisheria yeye ndiye Mwenyekiti wa halali wa chama cha NCCR-Mageuzi kufuatia hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia ameeleza kuwa baada ya kuondolewa madarakani kinyume cha sheria, aliamua kufuata njia za busara na hekima kwa kwenda mahakamani kwa takriban miaka miwili, ambapo mahakama ilitangaza kuwa maamuzi yote yaliyofanywa dhidi yake yalikuwa batili na kurejesha uenyekiti pamoja na uwanachama wake.
Pia, Soma: Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
Ikumbukwe kuwa, Machi 29, 2025 Khamis achaguliwa mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, amrithi Mbatia
Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi ulimchagua Haji Khamis kuwa mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi ya James Mbatia aliyekuwa mwenyekiti.
Wajumbe wa mkutano huo walimchangua Khamis kwa kura 508 kati ya kura 511, huku kura moja ikimpinga na mbili ziliharibika.
Khamis alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar na muda mrefu amekuwa akikaimu nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho baada kuondolewa James Mbatia.
Hana lolote huyu shoga.Mwanasiasa mkongwe, James Mbatia, amesisitiza kuwa kisheria yeye ndiye Mwenyekiti wa halali wa chama cha NCCR-Mageuzi kufuatia hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia ameeleza kuwa baada ya kuondolewa madarakani kinyume cha sheria, aliamua kufuata njia za busara na hekima kwa kwenda mahakamani kwa takriban miaka miwili, ambapo mahakama ilitangaza kuwa maamuzi yote yaliyofanywa dhidi yake yalikuwa batili na kurejesha uenyekiti pamoja na uwanachama wake.
Pia, Soma: Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
Ikumbukwe kuwa, Machi 29, 2025 Khamis achaguliwa mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, amrithi Mbatia
Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi ulimchagua Haji Khamis kuwa mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi ya James Mbatia aliyekuwa mwenyekiti.
Wajumbe wa mkutano huo walimchangua Khamis kwa kura 508 kati ya kura 511, huku kura moja ikimpinga na mbili ziliharibika.
Khamis alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar na muda mrefu amekuwa akikaimu nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho baada kuondolewa James Mbatia.
Hana lolote huyu shoga.
Mkuu nimekuona pm naomba msaada wako boss wanguok.mwenyekiti
Ndiyo naweza. Hata mwenyewe hajawahi kukataa wakati Lyatonga Mrema akisema wapimwe marinda kipindi wapo wote bungeniHii kauli unaweza kuithibitisha maana ni tuhuma nzito mwanaume kuliwa kiboga
DuuuNdiyovnaweza. Hata mwenyewe hajawahi kukataa wakati Lyatonga Mrema akisema wapimwe marinda kipindi wapo wote bungeni
Hana lolote huyu shoga.
Odemba na Lissu hawana tofauti.Odemba style yake ya interview anayofanya kwa wageni wake huwa inaboa sana, wacha mtu ajibu swali ulilomuuliza akimaliza ndio umuulize swali lingine.
Kumuingilia mtu akiwa anajibu unamkatisha kwa kumuuliza swali lingine simply anafanya kipindi chake kisiwe na maana kwa msikilizaji.
Anamnyima msikilizaji/mtazamaji nafasi ya kupata information toka kwa wanaoulizwa maswali.
Odemba amegeuza interviews zake kwa wageni wake kama mashindano anayotaka yeye aonekane ndie mshindi, anafeli.
Safi sana James Mbatia turejeshe tena muungano wa vyama vya upinzani. Tumsimamishe Emmanuel Nchimbi (mwenyezi Mungu amjalie neema na rehema uko alipo). Tushinde uchaguzi na viti vingi vya ubunge. Turejeshe misingi ya kidemokrasia na utawala wa sheria.Mwanasiasa mkongwe, James Mbatia, amesisitiza kuwa kisheria yeye ndiye Mwenyekiti wa halali wa chama cha NCCR-Mageuzi kufuatia hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Akizungumza kwenye mahojiano, Mbatia ameeleza kuwa baada ya kuondolewa madarakani kinyume cha sheria, aliamua kufuata njia za busara na hekima kwa kwenda mahakamani kwa takriban miaka miwili, ambapo mahakama ilitangaza kuwa maamuzi yote yaliyofanywa dhidi yake yalikuwa batili na kurejesha uenyekiti pamoja na uwanachama wake.
Pia, Soma: Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
Ikumbukwe kuwa, Machi 29, 2025 Khamis achaguliwa mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, amrithi Mbatia
Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi ulimchagua Haji Khamis kuwa mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi ya James Mbatia aliyekuwa mwenyekiti.
Wajumbe wa mkutano huo walimchangua Khamis kwa kura 508 kati ya kura 511, huku kura moja ikimpinga na mbili ziliharibika.
Khamis alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar na muda mrefu amekuwa akikaimu nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho baada kuondolewa James Mbatia.
Unaitaje upumbavu wakati hiyo ndiyo raha ya Mbatia? Au wewe ndiye unamkoroga tope!!Sikutegemea andishi la kipumbavu kutoka
kwako
Mfano wa Lissu sina, hebu nipe kama unao...odemba
Odemba na Lissu hawana tofauti.
Hawapendi kusikiliza wanapenda kuongea na kubishana
Akaribie kabisaAhamie CHADEMA
πππNdiyo naweza. Hata mwenyewe hajawahi kukataa wakati Lyatonga Mrema akisema wapimwe marinda kipindi wapo wote bungeni
Ndiyo naweza. Hata mwenyewe hajawahi kukataa wakati Lyatonga Mrema akisema wapimwe marinda kipindi wapo wote bungeni
Mbona umestuka? Umezoea kuwaona km kina delicious?Kwamba huyu mwamba anapapaswa uwemba???
Mbona umestuka? Umezoea kuwaona km kina delicious?
ππ