cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ndio tatizo la wabongo hili, sexual orientation hahusiani na masuala mengine.Yaani mzee ambavyo huwa anakaza jukwaani akiibwatukia CCM, halafu fumba macho upige picha kuwa mwamba huyo huyo anakatikia mauno wanaume wengine...Astaghfirullah!!
Kumbe hamjui hata mnachokipigania? Kwa style hiyo Ushoga hamuuwezi kupambana nao.
😂😂