Ndio tatizo la wabongo hili, sexual orientation hahusiani na masuala mengine.Yaani mzee ambavyo huwa anakaza jukwaani akiibwatukia CCM, halafu fumba macho upige picha kuwa mwamba huyo huyo anakatikia mauno wanaume wengine...Astaghfirullah!!
Viongozi wengi wa CCM na mashabiki wao wanaliwa viboga. Kuna kiongozi mmoja wa CCM nitamuanika humu jamvini. Nasubiri tu a right timeYaani mzee ambavyo huwa anakaza jukwaani akiibwatukia CCM, halafu fumba macho upige picha kuwa mwamba huyo huyo anakatikia mauno wanaume wengine...Astaghfirullah!!
Ndio tatizo la wabongo hili, sexual orientation hahusiani na masuala mengine.
Kumbe hamjui hata mnachokipigania? Kwa style hiyo Ushoga hamuuwezi kupambana nao.
😂😂
Unachanganya Sexual orientation na sexual attraction,Sexual orientation haina mahusiano ya moja kwa moja mwanaume kuliwa uwemba...
Sio wanaume wote wenye kuonesha haiba ya kike wanaliwa...
Pia kwenye hizi mambo za siasa na madaraka, kuna wanaume wanaouza nafsi zao na masadaka wanayatoa mojawapo ni kumtoa Diarra golini...
Mumsimamishe wewe na nani? Yani upinzani wamekosa watu wa kuweka waje wamweke huyo chawa Nchimbi aliyetimuliwa CCM kama mbwa? Be serious.Safi sana James Mbatia turejeshe tena muungano wa vyama vya upinzani. Tumsimamishe Emmanuel Nchimbi (mwenyezi Mungu amjalie neema na rehema uko alipo). Tushinde uchaguzi na viti vingi vya ubunge. Turejeshe misingi ya kidemokrasia na utawala wa sheria.
Ashaliwa sana na akina Ali Sumayi na Ali Maghuto enzi hizo za NCCRYaani mzee ambavyo huwa anakaza jukwaani akiibwatukia CCM, halafu fumba macho upige picha kuwa mwamba huyo huyo anakatikia mauno wanaume wengine...Astaghfirullah!!
Muulize Menrad Swai walikuwa wote Kili BoysKwamba huyu mwamba anapapaswa uwemba???
Nchimbi ana nia ya dhati ya kuleta demokrasia ya kweli nchini. Wanasema kwenye vikao vya CC alikuwa anawatetea wapinzani. Hata kauli zake nyingi zinaonyesha hivyo.Mumsimamishe wewe na nani? Yani upinzani wamekosa watu wa kuweka waje wamweke huyo chawa Nchimbi aliyetimuliwa CCM kama mbwa? Be serious.
Aisee siku ya mwisho mtaulizwa juu ya maneno mnayozushia watu.Hana lolote huyu shoga.
Mbatia yupo smart sana sio kama wapuuzi Mbowe na Mrema walikuwa wahuni tu.Wachagga wanapenda kung'ang'ania madaraka. Maana haya kayafanya pia Mbowe na Mrema.
Mbona yeye hajawahi kubisha?Aisee siku ya mwisho mtaulizwa juu ya maneno mnayozushia watu.
Ndiyo michezo yao lazima wafahamianeHii kauli unaweza kuithibitisha maana ni tuhuma nzito mwanaume kuliwa kiboga
Tangu kitambo.Anatumia mbinu isiyostahili katika mazingira hayo.Odemba style yake ya interview anayofanya kwa wageni wake huwa inaboa sana, wacha mtu ajibu swali ulilomuuliza akimaliza ndio umuulize swali lingine.
Kumuingilia mtu akiwa anajibu unamkatisha kwa kumuuliza swali lingine simply anafanya kipindi chake kisiwe na maana kwa msikilizaji.
Anamnyima msikilizaji/mtazamaji nafasi ya kupata information toka kwa watu wanaoulizwa maswali.
Odemba amegeuza interviews zake kwa wageni wake kama mashindano anayotaka yeye aonekane ndie mshindi, anafeli.