johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo ameshakosa soko, anajipitisha kwa mama ili aonekane! Yaani ni sawa na anampigia miluzi mama wakati mama kavaa shungi wala hatizami pembeni.Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania "
Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee
Atakaa bwashee!Mbatia alipoteza credibility pale alipo ikumbatia CCM.
Mwambieni kabisa siku viongozi wa vyama vya siasa vitakapokutana NA SSH MBatia akae upande wa CCM.
Mama Tanzania
Hata mm zilinikera sana, ilikuwa ni kupoteza mudaMwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania "
Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee
Bwashe na wewe sometime uachage bangi kwa kusikiliza wahuni! Salamu zinazochagiza ukuu wa Muumba wa Taifa hili linakujaje kuligawa taarifa hilohilo? Mbatia yaelekea ni mtu wa mataifa, hana hata chembe ya roho mtakatifu japo alibatizwa enzi hizo! Tapeli!Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania "
Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa.
Source: ITV habari
Kazi Iendelee