Walilazimika kujiuzulu waliotia nia ya kugombea ubunge 2020-Makonda na wengine kama tulivyoambiwa na Jiwe.Kipo kipengele cha Sheria kinachoelekeza hivyo?
Umeona wapi mtu anaeomba kazi kabla hajaipata anayoiomba anaacha aliyonayo?
Umeona wapi. Amekwambia nani
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Yale yalikuwa maagizo haramu ya mwenyekiti.Walilazimika kujiuzulu waliotia nia ya kugombea ubunge 2020-Makonda na wengine kama tulivyoambiwa na Jiwe.
Dah!kuna watu wanalala na kuamka mahakamani aise πππHahahaaaa.........!
Anatetea katiba!
Yalikuwa maagizo haramu ya mwenyekiti wa nini?
HUYU MZEE HATA HAJULIKANI ANATAKA NINI HIYO NAYO NI KESIYA KUKOMALIA KWELI? SASA ANATAKA NDUGAI ARUDISHIWE USPIKA AU ANATAKA TU ROHO YAKE IRIDHIKE ? MTU KATOKA UNAMLAZIMISHA ARUDI KWELI?James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)
Source: ITV habari
View attachment 2098850
Karibu mitaa hiiKipo kipengele cha Sheria kinachoelekeza hivyo?
Umeona wapi mtu anaeomba kazi kabla hajaipata anayoiomba anaacha aliyonayo?
Umeona wapi. Amekwambia nani
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mbele kwa mbele.James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)
Source: ITV habari
View attachment 2098850
Yeye anachotaka ni kufuatwa kwa sheria na taratibu, si kwamba anampenda subwoofer aendelee kula bata mjengoni.Kesi ya Mbatia haina mashiko kwakua anachokitaka yeye hakitaleta matokeo chanya.
Mbatia anadai kwamba Ndugai hakufuata taratibu wakati anajiuzulu hivyo bado yeye ni Spika halali.
Mfano mahakama ikaamua kwamba ni kweli Spika hakufuata taratibu amri hiyo itapelekea Spika afuate taratibu za kujiuzulu halafu tunarejea pale pale, kutafuta spika mwingine.
Hoja hapa ingekuwa kuchallenge Sifa za Mgombea wa CCM kwa nafasi hiyo ya Uspika jambo ambalo ni gumu hata hivyo maana Mgombea wa nafasi hiyo anazo sifa.
Wapinzani huwa wanakosa mbinu ndio maana hakuna wanalofanikiwa mpaka sasa.
Kesi yake haina maana yeyote maana mwisho wa siku spika mwingine atapatikana tu.Yeye anachotaka ni kufuatwa kwa Sheria na taratibu, si kwamba anampenda subwoofer aendelee kula bata mjengoni.
Unajua maana ya " bungeni " lakini?Kama kiongozi wa upinzani hajui hiliπbasi tuna safari ndefu!!!...
Ofisi ya Bunge
Katibu wa
Bunge Sheria
ya 1984 Na.15
ib.14
πππππ
87.-(1) Kutakuwa na Katibu wa Bunge ambaye atateuliwa na
Rais kutoka miongoni mwa watu wenye madaraka ya juu katika
utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Katibu wa Bunge atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi
ya Bunge na atawajibika kwa utendaji bora wa shughuli za Bunge
kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii na ya sheria inayohusika.
Halima mdeeBungeni unaiaddress kwa nani hiyo barua?!
Bro ya mwandiko mkubwa haikuwa barua ilikuwa ni press release hebu tuache uzuzuNasikia Barua nyingine yenye Mwandiko mdogo imeonekana sehemu ukiachana na ile ya Mwandiko mkubwa.
Huyu kaingiwa na mzimu wa Mchungaji Christopher Mtikila.Kuna watu wanapenda mikesi
Ova
Bungeni= jengo la Bunge/ofisi ya Bunge/mkutano wa Bunge/eneo la Bunge ... ππUnajua maana ya " bungeni " lakini?