Mbatia: Ndugai alipaswa kupeleka barua ya kujiuzulu bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge, Nakata rufaa!

Yale yalikuwa maagizo haramu ya mwenyekiti.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Yalikuwa maagizo haramu ya mwenyekiti wa nini?
Je,kwa nini mnalazimisha Tulia agombee uspika angali akiwa naibu spika?Huo siyo uroho wa madaraka?Akishachaguliwa kuwa spika ndipo atajiuzulu unaibu halafu uanze mchakato wa kumtafuta naibu spika?Hizi chaguzi zina gharama ama la?
Najiuliza,CCM mnakwama wapi?
 
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.

Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.

PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)

Source: ITV habari

View attachment 2098850
HUYU MZEE HATA HAJULIKANI ANATAKA NINI HIYO NAYO NI KESIYA KUKOMALIA KWELI? SASA ANATAKA NDUGAI ARUDISHIWE USPIKA AU ANATAKA TU ROHO YAKE IRIDHIKE ? MTU KATOKA UNAMLAZIMISHA ARUDI KWELI?
 
Kipo kipengele cha Sheria kinachoelekeza hivyo?

Umeona wapi mtu anaeomba kazi kabla hajaipata anayoiomba anaacha aliyonayo?

Umeona wapi. Amekwambia nani

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Karibu mitaa hii
huko nimekuwekea kifungu
P
 
Kama kiongozi wa upinzani hajui hili👇basi tuna safari ndefu!!!...

Ofisi ya Bunge

Katibu wa
Bunge Sheria
ya 1984 Na.15
ib.14
👇👇👇👇👇

87.-(1) Kutakuwa na Katibu wa Bunge ambaye atateuliwa na
Rais kutoka miongoni mwa watu wenye madaraka ya juu katika
utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Katibu wa Bunge atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi
ya Bunge na atawajibika kwa utendaji bora wa shughuli za Bunge
kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii na ya sheria inayohusika.
 
Kesi ya Mbatia haina mashiko kwakua anachokitaka yeye hakitaleta matokeo chanya.

Mbatia anadai kwamba Ndugai hakufuata taratibu wakati anajiuzulu hivyo bado yeye ni Spika halali.

Mfano mahakama ikaamua kwamba ni kweli Spika hakufuata taratibu amri hiyo itapelekea Spika afuate taratibu za kujiuzulu halafu tunarejea pale pale, kutafuta spika mwingine.

Hoja hapa ingekuwa kuchallenge Sifa za Mgombea wa CCM kwa nafasi hiyo ya Uspika jambo ambalo ni gumu hata hivyo maana Mgombea wa nafasi hiyo anazo sifa.

Wapinzani huwa wanakosa mbinu ndio maana hakuna wanalofanikiwa mpaka sasa.
 
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.

Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.

PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)

Source: ITV habari

View attachment 2098850
Mbele kwa mbele.
 
Kesi ya Mbatia haina mashiko kwakua anachokitaka yeye hakitaleta matokeo chanya.

Mbatia anadai kwamba Ndugai hakufuata taratibu wakati anajiuzulu hivyo bado yeye ni Spika halali.

Mfano mahakama ikaamua kwamba ni kweli Spika hakufuata taratibu amri hiyo itapelekea Spika afuate taratibu za kujiuzulu halafu tunarejea pale pale, kutafuta spika mwingine.

Hoja hapa ingekuwa kuchallenge Sifa za Mgombea wa CCM kwa nafasi hiyo ya Uspika jambo ambalo ni gumu hata hivyo maana Mgombea wa nafasi hiyo anazo sifa.

Wapinzani huwa wanakosa mbinu ndio maana hakuna wanalofanikiwa mpaka sasa.
Yeye anachotaka ni kufuatwa kwa sheria na taratibu, si kwamba anampenda subwoofer aendelee kula bata mjengoni.
 
Yeye anachotaka ni kufuatwa kwa Sheria na taratibu, si kwamba anampenda subwoofer aendelee kula bata mjengoni.
Kesi yake haina maana yeyote maana mwisho wa siku spika mwingine atapatikana tu.

Kuna mambo mengine muhimu ya kushughulika nayo kuliko hili.
 
Kama kiongozi wa upinzani hajui hili👇basi tuna safari ndefu!!!...

Ofisi ya Bunge

Katibu wa
Bunge Sheria
ya 1984 Na.15
ib.14
👇👇👇👇👇

87.-(1) Kutakuwa na Katibu wa Bunge ambaye atateuliwa na
Rais kutoka miongoni mwa watu wenye madaraka ya juu katika
utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Katibu wa Bunge atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi
ya Bunge na atawajibika kwa utendaji bora wa shughuli za Bunge
kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii na ya sheria inayohusika.
Unajua maana ya " bungeni " lakini?
 
Back
Top Bottom