johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mazoezi ni muhimu kwa afya!Acha tunyooke, naanza zoezi la ku print kwa miguu
Ngoja tuone hiyo nguvu ya 100/= ikoje!Duuh Kuna kifinyo kinachokuja,
Nadhani serikali iliweka ongezeko la shilingi mia wakati mbaya.
Una uhakika bwashee?JPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni
Hiyo ndiyo tofauti ya magufuli alikuwa ana tazama mbele vizuri na kwamakini hata hii korona chini ya samia lazima itstuchapa vibaya wewe subiri utaona kitu kitakacho tokea,mama sialikuwa anamponda magufuliDuuh Kuna kifinyo kinachokuja,
Nadhani serikali iliweka ongezeko la shilingi mia wakati mbaya.
2025 1 dola = tsh3000 Minido na kikwete wataweza wapi kuongoza nchiJPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni
kwenye Petrol mama ameupiga mwingi 🤣 🤣 🤣JPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni
Mama ameandaa mkakati gani wa kudhibiti mfumuko wa Bei?Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya petrol na diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini.
Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko la dunia.
Chanzo: ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ulitaka awe na kifua Kama chako?2025 1 dola = tsh3000 Minido na kikwete wataweza wapi kuongoza nchi
Mchumi wa kujichora kwenye mawe na majabali mabarabaraniMwigulu Nchemba tumekukosea nini labda kwa mfano??
Ni marehemu kwa hiyo hainamaana kusema tutaelewana, Bora angekua haiJPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni
Huu mfumuko umesababishwa na Corona inayotesa huko duniani!Mama ameandaa mkakati gani wa kudhibiti mfumuko wa Bei?
Si ndiyo maana ni nidoUlitaka awe na kifua Kama chako?