Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

Ntaendelea tu kumake comparison hasa katika mfumuko wa bei, thamani ya shilingi, huduma za kijamii hasa afya na elimu na na ajira. Nione kama kuna unafuu au ndo tunazidi kudidimia

Unafanya comparison vipi wakati rais aliyepita alikuwa mpika data?
 
Unafanya comparison vipi wakati rais aliyepita alikuwa mpika data?
Nikweli alikua anapika data hadi tunaenda kununua petrol 1,800 kwa Lita
Upishi huu wa data tunauhitaji sana sasa.
 
Nikweli alikua anapika data hadi tunaenda kununua petrol 1,800 kwa Lita
Upishi huu wa data tunauhitaji sana sasa.

Alishusha bei ya mafuta yeye au ni bei ilishuka kwenye soko la dunia? Mambo yaliyokuwa kwenye uwezo wake ni bei ya mazao, ambapo alishindwa na kuishia kupora korosho za wakulima. Angekuwa na uwezo wa kushusha bei ya mafuta asingepora fedha wa wafanyabiashara kwenye mabureau de change.
 
Haa wew jamaa umemkomesha Huyu alikuwa na vyeti feki kwa hiyo hasira zake anamalizia hapa
 
JPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni
mafuta yapande yaweje sina haja ya kumsifu JPM hata kama angekuwepo yeye mambo yangebana tu. Usipende sana kutusababisha kukumbuka alivyo tutesa mwenda zake watu tumeanza kusahau shida wewe unatukumbusha acha mama afanye kazi zake bwana
 
Usiseme alivyotutesa, sema alivyonitesa!! Kuteseka kwako ndiyo furaha ya wengi maana haikosi wewe ni mkwepa kodi au fisadi au wakala wa mabeberu!! Kusema ukweli mafisadi na wakwepa kodi waliteseka sana enzi za JPM!! Waliishi kama mashetani!! Kumbuka kuwa ninyi mafisadi mlitutesa sana huko nyuma!! Kwa sasa mnampigia hesabu mama na mmeshaanza kurudi kwa kasi, ila jueni siku zenu zinahesabika!!
 
Hiyo ndiyo tofauti ya magufuli alikuwa ana tazama mbele vizuri na kwamakini hata hii korona chini ya samia lazima itstuchapa vibaya wewe subiri utaona kitu kitakacho tokea,mama sialikuwa anamponda magufuli
Mama chief anachemka vibaya Sana.
 
Korona ilipoingia bei ya mafuta iliporomoka duniani hadi tukashuhudia huku kwetu, leo hii korona hiyo hiyo imepaisha bei ya mafuta....tatizo mnataka kodi kwenye mafuta ndo iendeshe nchi, BTW hayo mavyeo mnayopeana hadi wasanii yanayoambatana na mishahara na posho kubwa kubwa yanaipa mzigo nchi kuendesha serikali kubwa ambayo ina nafasi nyingi za kuteuana ambazo ni redundant mnaishia kuumiza wananchi kwa kuweka mikodi kila pahala....
Jana bungeni 'supika' kahoji <>ya V8 kati ya Dodoma na Dar.
 
Usiseme alivyotutesa, sema alivyonitesa!! Kuteseka kwako ndiyo furaha ya wengi maana haikosi wewe ni mkwepa kodi au fisadi au wakala wa mabeberu!! Kusema ukweli mafisadi na wakwepa kodi waliteseka sana enzi za JPM!! Waliishi kama mashetani!! Kumbuka kuwa ninyi mafisadi mlitutesa sana huko nyuma!! Kwa sasa mnampigia hesabu mama na mmeshaanza kurudi kwa kasi, ila jueni siku zenu zinahesabika!!
Na wewe mlipa kodi subiri uteseke kama shetani kama tulivyoteseka sisi.usituletee habari za shetani yule ameshaenda acha
Mama afanye kazi
 
Back
Top Bottom