Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

JPM ameacha bei ya petroli sh 1,800. Thamani ya shilingi dhidi ya dola 2,200
Nasubiri nione 2025 itakavyokua.
Tuendelee na mapambio tutaelewana tu huko mbeleni

Tafuta namna nyingine ya kumsifia yule dhalimu, sio kwa huu upotoshaji. Kama hujui mambo ya $ achana nayo kabisa, ongeleo yaliyo kwenye uwezo wako ya Simba na Yanga.
 
Tutashuhudia mfumuko mkubwa wa Bei za bidhaa, tayari Moshi na Arusha mabasi yamepandisha Bei, je huna habari?
Nauli kupanda msimu wa kufunga/ kufungua shule na wakati wa Merry Christmas and Happy New Year ni jambo la kawaida kabisa bwashee!

Usiogope.
 
Tafuta namna nyingine ya kumsifia yule dhalimu, sio kwa huu upotoshaji. Kama hujui mambo ya $ achana nayo kabisa, ongeleo yaliyo kwenye uwezo wako ya Simba na Yanga.
Ntaendelea tu kumake comparison hasa katika mfumuko wa bei, thamani ya shilingi, huduma za kijamii hasa afya na elimu na na ajira. Nione kama kuna unafuu au ndo tunazidi kudidimia
 
inabidi wapandishe Lita moja iwe elfu 10 ili tujenge masanamu ya meko kila mkoa
 
Korona ilipoingia bei ya mafuta iliporomoka duniani hadi tukashuhudia huku kwetu, leo hii korona hiyo hiyo imepaisha bei ya mafuta....tatizo mnataka kodi kwenye mafuta ndo iendeshe nchi, BTW hayo mavyeo mnayopeana hadi wasanii yanayoambatana na mishahara na posho kubwa kubwa yanaipa mzigo nchi kuendesha serikali kubwa ambayo ina nafasi nyingi za kuteuana ambazo ni redundant mnaishia kuumiza wananchi kwa kuweka mikodi kila pahala....
 
Back
Top Bottom