nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
Habari wadau wa JF,kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya kuna baridi napatwa na tatizo hilo hasa kipindi tunachokwenda.....nimetumia madawa sana bila kupona,ila napata nafuu tu kwa muda basi!....help me please
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ulivyokwenda Hospitali Daktari alikwambia una maradhi gani?na alikupa dawa gani ulizotumia? ukihitaji matibabu yangu bonyeza hapa.MawasilianoHabari wadau wa JF,kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya kuna baridi napatwa na tatizo hilo hasa kipindi tunachokwenda.....nimetumia madawa sana bila kupona,ila napata nafuu tu kwa muda basi!....help me please
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wadau nashukuru kwa majibu yenu....hospital walinipa ant-biotic na dawa za mauimivu,yaani ampliclox na paradiclo....huwa napata nafuu baadae inaanza tena,pia mzizi mkavu number yako ya whatsapp siion nikisave
Kusema kweli kwenye masweta sikuwa navaa nilikuwa naishi kidaslam,imenicost,ngoja nianze wadau....shukrani sana kwenu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
nipm nikuelekeze kitu kilichonisaidia Mimi kama we ni mdada