Mbavu kubana na kushindwa hata kukohoa kipindi cha baridi

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
526
Habari wadau wa JF.

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya kuna baridi napatwa na tatizo hilo hasa kipindi tunachokwenda.....nimetumia madawa sana bila kupona,ila napata nafuu tu kwa muda basi!....help me please

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mp jamaa yetu mzizi mkavu anaweza hiyo mambo my be he can help you.

Swissme
 
Habari wadau wa JF,kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya kuna baridi napatwa na tatizo hilo hasa kipindi tunachokwenda.....nimetumia madawa sana bila kupona,ila napata nafuu tu kwa muda basi!....help me please

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu unatumia dawa gani na nani alikushauri? Au unajitibu kienyeji? Hiyo ni baridi imekusababishia Pneumonia. Jitahidi kuvaa nguo nzito tofauti na ulizokuwa unavaa Dar, ukiwaiga wenyeji Wa Mbeya tutakupoteza maana wao tayari miili yao ilisha-adapt mazingira ya baridi wewe itakuchukua siku. Pia jitahidi kuoga maji ya uvuguvugu usioge maji ya baridi hata kama ni mchana! Wakati Wa kulala jifunike blanketi, chapa binadamu halitoshi!! Wakati unafanya hayo endelea na matibabu ili kutibu mapafu! Naamini baada ya siku si nyingi utaleta majibu!
 
Habari wadau wa JF,kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya kuna baridi napatwa na tatizo hilo hasa kipindi tunachokwenda.....nimetumia madawa sana bila kupona,ila napata nafuu tu kwa muda basi!....help me please

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ulivyokwenda Hospitali Daktari alikwambia una maradhi gani?na alikupa dawa gani ulizotumia? ukihitaji matibabu yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Wadau nashukuru kwa majibu yenu....hospital walinipa ant-biotic na dawa za mauimivu,yaani ampliclox na paradiclo....huwa napata nafuu baadae inaanza tena,pia mzizi mkavu number yako ya whatsapp siion nikisave
Kusema kweli kwenye masweta sikuwa navaa nilikuwa naishi kidaslam,imenicost,ngoja nianze wadau....shukrani sana kwenu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wadau nashukuru kwa majibu yenu....hospital walinipa ant-biotic na dawa za mauimivu,yaani ampliclox na paradiclo....huwa napata nafuu baadae inaanza tena,pia mzizi mkavu number yako ya whatsapp siion nikisave
Kusema kweli kwenye masweta sikuwa navaa nilikuwa naishi kidaslam,imenicost,ngoja nianze wadau....shukrani sana kwenu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

nipm nikuelekeze kitu kilichonisaidia Mimi kama we ni mdada
 
Back
Top Bottom