Mbaya sana kuwa kwenye mahusiano na mtu asiye na akili ya maendeleo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.

Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio ya mtu.
 
Utaratibu wa watu wazima kuchunguza na kuchagulia vijana watu wa kuwaoa na kuolewa nao inatakiwa urudi.

Vijana wengi wanateswa na upwiru, wanachagua kutokana na uzuri wa binti(rangi na shepu na ukubwa wa tako/mahipsi) au utamu.
Waliochaguliwa wenza hapo zamani walikuwa na maendeleo?

Hii ni Akilindogosana
 
Mdogo mdogo mtaelewa tu.....

kuna watu walimtolea sana maneno Christina shusho alivosema "nimeamua kuachana na ndoa ili nitimize ndoto zangu"

Kuna watu ndoa zimewarudisha sana nyuma hadi kwenye sifuri, kuna watu katika ndoa hakuna future yoyote ni wanaishi wakingoja tu siku ya kufa.
 
Utaratibu wa watu wazima kuchunguza na kuchagulia vijana watu wa kuwaoa na kuolewa nao inatakiwa urudi.

Vijana wengi wanateswa na upwiru, wanachagua kutokana na uzuri wa binti(rangi na shepu na ukubwa wa tako/mahipsi) au utamu.
Hiyo nayo ni hoja inatakiwa kuzingatiwa
 
Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.

Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio ya mtu.
Unadated na mdangaji mizinga kila dk.

Ukimpata mwanamke ambaye anajua nini maana ya maisha/mwenye akili ya maisha mara nyingi wanakuwa na nidhamu ya fedha hata ukimpatia fedha aitunze au mtaji lazima ataiheshimu ile hela au wengine huenda mbali na kuizalisha.

Tatizo wapo wachache mnoo,hapo bado hajashindana kuvaa,hajakimbizana na matoleo ya simu, ana mikopo, michezo miwili majina matatu kila mchezo na ana vikoba.
 
Mdogo mdogo mtaelewa tu.....

kuna watu walimtolea sana maneno Christina shusho alivosema "nimeamua kuachana na ndoa ili nitimize ndoto zangu"

Kuna watu ndoa zimewarudisha sana nyuma hadi kwenye sifuri, kuna watu katika ndoa hakuna future yoyote ni wanaishi wakingoja tu siku ya kufa.
Inamaana unasema mume wake hazi charge ?
 
Back
Top Bottom