beatboi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 561
- 1,356
tunabadilishana jinsia yeye anioe mimiAkikataa kutumia zako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunabadilishana jinsia yeye anioe mimiAkikataa kutumia zako?
Ukiachilia mbali uchache, ni ngumu sana kuwapata kwa maana hawapo katika njia za vijana wengi wa kileo.Unadated na mdangaji mizinga kila dk.
Ukimpata mwanamke ambaye anajua nini maana ya maisha/mwenye akili ya maisha mara nyingi wanakuwa na nidhamu ya fedha hata ukimpatia fedha aitunze au mtaji lazima ataiheshimu ile hela au wengine huenda mbali na kuizalisha.
Tatizo wapo wachache mnoo,hapo bado hajashindana kuvaa,hajakimbizana na matoleo ya simu, ana mikopo, michezo miwili majina matatu kila mchezo na ana vikoba.
Heshima kwa shemeji. Mpaka unampa heshima hii hadharani ni wazi anastahili.Heshima kwako mke wangu kipenzi.
❣️
Malaya huyo..Mdogo mdogo mtaelewa tu.....
kuna watu walimtolea sana maneno Christina shusho alivosema "nimeamua kuachana na ndoa ili nitimize ndoto zangu"
Kuna watu ndoa zimewarudisha sana nyuma hadi kwenye sifuri, kuna watu katika ndoa hakuna future yoyote ni wanaishi wakingoja tu siku ya kufa.
🤣🤣🤣🤣 hata mimi nishaona. Ngoja tuanze kazi maana ishakushinda.Akisema mwingine unasupport kweli ila nkisema mimi unaniona domo zege, muoga & sio mchacharikaji. Mimi bila kuniletea mchumba sitoboi
Kweli kabisa mkuu,hata huyu wangu ni kama mzigo tuUjana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.
Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio ya mtu.
Jirani pitia bia 4 hapa kwangu.Huu utakua uzembe mwingine grade one.
Kwanza unapo ingia kwenye mahusiano/uchumba, ni muhimu sana kujipa muda wa kumjua mwenza wako.
Na hata ikitokea umekuja mjua baada ya ndoa, minashauri bora kuvunja ndoa maana siamini kama ndoa ni mateso mazee...
Tatizo la watu wengi mnashindwa kuchukua hatua kwenye mahusiano yenu kwa kuogopa eti watu/ndugu watasema nini.
Remember, huyo ni mwenza wako wewe na sio mwenza wenu na ndugu ama marafiki.
Sasa mke anakunyima papuchi, Kuna maendeleo hapo si kila siku hela unakua unahonga malayaUjana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.
Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio ya mtu.
AiseeSasa mke anakunyima papuchi, Kuna maendeleo hapo si kila siku hela unakua unahonga malaya
kuoa ukikosea si unapiga chini tu kama ManaraBora ukosee vyote ila sio kuoa
Kama wangu yaani huyu mwanamke ni garasa kwenye maendeleo hawezi kushauri awezi kutoa wazo lolote la biashara.Anachoweza yeye nikutaka pesa ili anunue scene care sijuiUnapata mke mwenye tabia nzuri na heshima sijui uaminifu ni banda, ila mipango ya maana wala ushauri ni SIFURI.
Kwangu mm mwanamke awe msikivu, asiwe na kiburi, afanye majukumu yake kama mama wa familia.Kwa hiyo vilaza waolewe au wawaoe kina nani ? 🤣🤣 Mmoja akiwa na akili zinatosha kitu kikubwa hakikisha wewe kilaza usiye na akili za maendeleo unamsikiliza na kumsupport huyu mwenzako anayeset ramani na michongo na mbunifu wa familia. Mungu ni wetu sote jamani 🤣
Ulichagua fungu jema 🤣Kama wangu yaani huyu mwanamke ni garasa kwenye maendeleo hawezi kushauri awezi kutoa wazo lolote la biashara.Anachoweza yeye nikutaka pesa ili anunue scene care sijui
Aisee acha tu mkuu viumbe wenye Hekima, Busara, Heshima na Adabu bado wapo mkuu ila kumpata na kujua ndio huyu hapo shughuli ndipo inapoanzia kiongozi.Heshima kwa shemeji. Mpaka unampa heshima hii hadharani ni wazi anastahili.