Mbaya sana kuwa kwenye mahusiano na mtu asiye na akili ya maendeleo

Mbaya sana kuwa kwenye mahusiano na mtu asiye na akili ya maendeleo

Kibaya zaidi unaweza kuja kugundua wakati huo huna la kufanya tena
Huu utakua uzembe mwingine grade one.
Kwanza unapo ingia kwenye mahusiano/uchumba, ni muhimu sana kujipa muda wa kumjua mwenza wako.
Na hata ikitokea umekuja mjua baada ya ndoa, minashauri bora kuvunja ndoa maana siamini kama ndoa ni mateso mazee...
Tatizo la watu wengi mnashindwa kuchukua hatua kwenye mahusiano yenu kwa kuogopa eti watu/ndugu watasema nini.
Remember, huyo ni mwenza wako wewe na sio mwenza wenu na ndugu ama marafiki.
 
Kama kuna kitu sina muda nacho ni ushauri kutoka KWA MWANAMKE....
You are making a big mistake bro.
Minafikiri, kumsikiliza mwanamke sio jambo baya hata akikishauri, lakini jambo kubwa ambalo natambua mimi ni mwanaume ndio mtoa maamuzi ya mwisho katika kaya.
Hivyo basi, pamoja na mwanamke kuchangia katika kushauri mambo, lakini bado inabaki kwamba yeye hana mamlaka ya kufanya maamuzi.
 
Nina experience ya kutosha,..sijaanza mahusiano jana wala juzi,....sijawa kwenye mahusiano na mmoja wala watatu,......
 
Back
Top Bottom