Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Mkuu utakuwa hujui mateso ya kuishi na mke/mume ambaye hana akili...hasa hizi ndoa za kikristo kuachana ni hadi mmoja afe!.muhimu awe mzuri akili tutatumuia zangu
Akili za kuambiwa changanya na za kwakoMkuu utakuwa hujui mateso ya kuishi na mke/mume ambaye hana akili...hasa hizi ndoa za kikristo kuachana ni hadi mmoja afe!.
Kwa lugha rahisi, hiyo inaweza kuwandio tiketi ya kifo chako!!.
ukiwa na akili huwezi kuteseka, ukiona unateseka wewe ndio huna akiliMkuu utakuwa hujui mateso ya kuishi na mke/mume ambaye hana akili...hasa hizi ndoa za kikristo kuachana ni hadi mmoja afe!.
Kwa lugha rahisi, hiyo inaweza kuwandio tiketi ya kifo chako!!.
Waliochaguliwa wenza hapo zamani walikuwa na maendeleo?Utaratibu wa watu wazima kuchunguza na kuchagulia vijana watu wa kuwaoa na kuolewa nao inatakiwa urudi.
Vijana wengi wanateswa na upwiru, wanachagua kutokana na uzuri wa binti(rangi na shepu na ukubwa wa tako/mahipsi) au utamu.
Kabisa ndgBora ukosee vyote ila sio kuoa
Kama kuna kitu sina muda nacho ni ushauri kutoka KWA MWANAMKE....Unapata mke mwenye tabia nzuri na heshima sijui uaminifu ni banda, ila mipango ya maana wala ushauri ni SIFURI.
Hiyo nayo ni hoja inatakiwa kuzingatiwaUtaratibu wa watu wazima kuchunguza na kuchagulia vijana watu wa kuwaoa na kuolewa nao inatakiwa urudi.
Vijana wengi wanateswa na upwiru, wanachagua kutokana na uzuri wa binti(rangi na shepu na ukubwa wa tako/mahipsi) au utamu.
Unadated na mdangaji mizinga kila dk.Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu wanarudi nyuma kimaisha kwakuwa na bad partners.
Mke au mume anaweza akawa ki kwazo cha mafanikio ya mtu.
Wapo wanaojielewa ila inatakiwa akili ya mwanaume ndio itoe muongozoKama kuna kitu sina muda nacho ni ushauri kutoka KWA MWANAMKE....
Inamaana unasema mume wake hazi charge ?Mdogo mdogo mtaelewa tu.....
kuna watu walimtolea sana maneno Christina shusho alivosema "nimeamua kuachana na ndoa ili nitimize ndoto zangu"
Kuna watu ndoa zimewarudisha sana nyuma hadi kwenye sifuri, kuna watu katika ndoa hakuna future yoyote ni wanaishi wakingoja tu siku ya kufa.
Sijui kama zinacharge au hazicharge binafsi simjui.....Inamaana unasema mume wake hazi charge ?
Hahaaa huo mzigo huna budi ni kubeba tu . Mtoto akikua jitahidi umchukueKuna mchaga kanizalia mtoto yaan ni empty sey pro max, mpka unajiuliza mchaga wa wapi huyu!