Mbaya sana kuwa kwenye mahusiano na mtu asiye na akili ya maendeleo

Ukiachilia mbali uchache, ni ngumu sana kuwapata kwa maana hawapo katika njia za vijana wengi wa kileo.
 
Kitumbua ndio msingi wa yote sasa km anakibania ndo nn basi akuruhusu atauwe una kigusa gusa na dole la kati kuona km zutu geji inasoma ila so ukimaliza ukale nyeto mzee wng 😁
 
Malaya huyo..
 
Akisema mwingine unasupport kweli ila nkisema mimi unaniona domo zege, muoga & sio mchacharikaji. Mimi bila kuniletea mchumba sitoboi
🀣🀣🀣🀣 hata mimi nishaona. Ngoja tuanze kazi maana ishakushinda.
 
Kweli kabisa mkuu,hata huyu wangu ni kama mzigo tu
 
Jirani pitia bia 4 hapa kwangu.

Watu wanalaumu tu wenzao ila mara nyingi ni wao ndio wayumbaji, Mimi ninakuwaga na option A,B hadi C za mawazo ya maendeleo yangu binafsi, ambayo in a long run yatakuwa maendeleo yetu site, mtu akileta upumbavu ajiandae kuchagua moja.

Binadamu acheni visingizio, kama mwanamke haeleweki mwache ndani mpe hela ya kula tu na kuhudumia familia, mengine fanya mwenyewe tuone atakukwamisha wapi.
 
Sasa mke anakunyima papuchi, Kuna maendeleo hapo si kila siku hela unakua unahonga malaya
 
Kwa hiyo vilaza waolewe au wawaoe kina nani ? 🀣🀣 Mmoja akiwa na akili zinatosha kitu kikubwa hakikisha wewe kilaza usiye na akili za maendeleo unamsikiliza na kumsupport huyu mwenzako anayeset ramani na michongo na mbunifu wa familia. Mungu ni wetu sote jamani 🀣
 
Ngoja kwanza!
Huyo Mwanamke mwenye mawazo na malengo utamjuaje?
 
Kwangu mm mwanamke awe msikivu, asiwe na kiburi, afanye majukumu yake kama mama wa familia.

Akili zangu zinatosha kabisa kuendesha maisha yetu.

Niache depertment nzima ya marafiki zangu kwenye circle yangu nikashauriane na mke wangu ? labda kulima bustani.
 
Heshima kwa shemeji. Mpaka unampa heshima hii hadharani ni wazi anastahili.
Aisee acha tu mkuu viumbe wenye Hekima, Busara, Heshima na Adabu bado wapo mkuu ila kumpata na kujua ndio huyu hapo shughuli ndipo inapoanzia kiongozi.

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…