Mbeba Box akipata hadi aibu unaona wewe

Mbeba Box akipata hadi aibu unaona wewe

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka Wanajamvi!

Kuna mbeba boksi hapa kamiliki Jeep Gladiator yani fujo jamaa katoka west Africa. Nikimaanisha fujo ni zaidi ya fujo na ulimbukeni.

Jamaa kapitiliza showoff ambapo ni jambo la kawaida tu hata Mercedes GClass ukiamua unachukua tu kwa credit nakulipa kila mwezi.

Jamaa alikuja nalo Uwanjani wanapocheza mpira yani iyo show-off hadi aibu naona mimi na micheni inayoning'inia.

Kitu nilichovutiwa kwake ni demu wake bonge la black beauty bantu figure.

Jamaa lilikuwa likiamasisha Timu yake play play play yes move it that's good shot play play huku likitupatupa mkono.

Half time likaenda kwenye jeep yake na kufungua milango yote nakuwasha mziki mnene na wapambe wake wakipiga lager.

Basi waungwana (gentlemen) tunawaangalia weee nakutingisha kichwa. Yani Aibu tunaona sisi. Niga akipata mtoni ni hatari a nataka kila mtu amjue wakati ni jambo la kawaida tu.

2020-jeep-gladiator-raleigh-nc.jpg
 
Endelea kuona aibu acha mwamba atafune jasho lake kwa raha zake.
 
Watu wamepigika huko,ulafu unataka akija bongo aone aibu kutumbua pesa zake

Hata ningekuwa mm ningekuoshea mbaya na ukizubaa nakupga na dole LA mkund*
 
Ati umevutiwa na demu wake? Dah kweli wewe Baharia wa nchi kavu.😀
 
Ni kama kudunduliza mshahara wako wa 1.2m hadi kununua ki Mark X.
Umenikumbusha mbali sana kuhusu mark x kama sikosei 2007 ama 2008 kabla sijasafir mtoni. Mark x ikiwa rangi nyeupe Bei ilikuwa inapanda zaidi hadi 40 M. Mr Blue alipewaga lifti na rafiki yake hadi alikataa kushuka akishangashangaa.
 
Watu wamepigika huko,ulafu unataka akija bongo aone aibu kutumbua pesa zake

Hata ningekuwa mm ningekuoshea mbaya na ukizubaa nakupga na dole LA mkund*

Angalia pm
 
Muache atumbue pesa zake bhana, kwani nini lol
 
Back
Top Bottom